Akamatwa akiwarecord wanaowafukuza Machinga

Halafu Maalim Seif akaja akaungana na CCM akisema anaponya nchi,😁😁.Greedy
Walimvuta kwao kisha wakammaliza aliendekeza tumbo akaweka akili kushoto.
Toka lini adui wako akutesae miaka akawa rafiki na kukukaribisha mezani nawe unakubali.
 
Nyie mnaotetea Wamachinga mnatafuta umaarufu mbuzi. Wachachinga ni kero kwa watu wooote wapenda Utulivu na Ustaaarabu unapotetea uwepo wao unatupa picha wewe ni mtu wa aina gani kichwani.
We kama kula kulala ni lzm Usione umuhimu wa machinga kiuchumi.
 
safi kabisa, hata ningelikuwa mimi ningefanya hivyohivyo. Na kama ni katika wale wanaotumwa na polepole basi awekwe ndani hadi uchaguzi wa mwaka 2030
Hakuna sheria hio
 
Hivi mnaowatetea hawa jamaa mnapata wapi huu ujasiri? Hii mbona ni kero ya muda mrefu, nyie mlitaka serikali ifanyeje?

 
Inashangaza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…