Hivi denti wa kidato cha tatu ana miaka mingapi vile? Na huyu mwalimu umri wake? Naona kama walielewana tu. Hao waandishi nao muflisi kabisa, hili ni fumanizi kivipi, nani mlalamikaji hapo? Kwani huyo mwanafunzi ni mke wa mtu? Au mke wa huyo mwalimu yuko wapi, mbona hatuambiwi kuwa ndie mlalamikaji, pengine hata hajaoa huyo mwalimu. Ujinga tu wa waandishi wetu. Mwalim mwenyewe anaonekana kabisa ni wale yeboyebo, kamaliza form six mwaka huu hata sura inaonesha bado mtoto. Hawa ni rika moja tu, hilo la ualimu na uanafunzi ni labels tu lakini kwa hali halisi ni rika moja, wanafanya kinachofanywa na watu wa rika hilo. Tuacheni hukmu za kijinga.