Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
DuuhNarcotics zinapigwa burn mpaka kwenye packet ya karanga....
Ukiziona unajua ni karanga!!!! Tafuna sasa
KabisaNi hatari sana na usikubali kubeba mzigo wa mtu wakati unasafari ya nje ya nchi
Utu umeenda wapi sijuiKama una safari au msafiri
Mambo ya kupewa mizigo
Sijuwi zawadi uwabebe watu achana nayo kabisa!
Yawezekana huyo dada alikuwa hajuwi/anajuwa
Ukweli anaujuwa mwenyewe
Ova
Haya mambo hayajaanza leo,longtime nakumbk nlikuwa navuka border la beitbridge ningie S.AUtu umeenda wapi sijui
Asee mkuu bonge Moja la shule aseeHaya mambo hayajaanza leo,longtime nakumbk nlikuwa navuka border la beitbridge ningie S.A
muda tu kuna dada wa Mozambique alinijia kunizoea gafla stori nyingi
Kmbe mm namsikilizia namkwepa,mara akaniambia oh naomba unisaidie hili begi maana mm nna mzigo mingi kwani aliniona,alihisi lbda mlugamluga nkaachana naye maana hy michezo naijuwa
Kwenye safari hakunaga mazoea umjue,mfahamiane na mtu bin vuu ni kujitafutia balaaa
Miaka ya 90s kuna movie nliangaliaga ilikuwa inaitwa Bangkok Hilton jamaa anawatongoza madem anatengeneza mahusiano
Akisafiri nao anawafanya drugs mules bila wao kujijua
Uwe popote hata ndani ya bus mtu akuambie ntunzie mzigo wangu kataaa
Ova
Burn! Choma moto.Narcotics zinapigwa burn mpaka kwenye packet ya karanga....
Ukiziona unajua ni karanga!!!! Tafuna sasa
Could be a registerd agent,akikana hako kazigo!,Unamfungisha mtu bure bure aisee!...Salma ally kimaro, akamatwa Dubai airport baada ya kisemekana ubuyu alio beba una bangi, na si ubuyu WA kawaida, Binti huyo alidai ubuyu huo alipewa na agent aliempeleka Dubai hivo hafahamu mambo ya bangi.
Hii mizigo ya kawaida tunayo pewa tuipeleke sehemu Fulani imesha kua hatari Kwa macho ya nyama unaona ubuyu kumbe, watu wameweka mizigo Yao.
Watupe details wanaomjua, maana siku hizi housegirl wa Dubai ana mwaka mmoja kazini anamiliko nyumba na range mtaaniSura ya kazi kabisa, za mwizi ni 40 ba yeye 40 yake ndio hiyo..
Unafikiri hata wewe unge kua agent unge Kiri mzigo ni wako mkuu?Could be a registerd agent,akikana hako kazigo!,Unamfungisha mtu bure bure aisee!...
Kule demu ni rahisi kutoboa mana na nyapu si unaliwa unajua sehemu yenye Sheria Kali za dini wazee Huwa wanalomba sana mabeki tatu, ili kumpunguzia hekaheka bi mdashiWatupe details wanaomjua, maana siku hizi housegirl wa Dubai ana mwaka mmoja kazini anamiliko nyumba na range mtaani
Mi naona ka pole lenyewe ila sura sio roho ikimix na hii hali ya kisulisuliSura ya kazi kabisa, za mwizi ni 40 na yeye 40 yake ndio hiyo..
Wauza dawa kila siku wanakuja na ubunifu mpya ndio mana mtaani bado zipoBurn! Choma moto.
Ban! Zuia.
Narcotics zinachomwa moto mpaka kwenye packet ya karanga!!!