Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Subiria kwanza Nina kazi naye muhimu nafanya nae ikishiisha mwaka 2020 atakujibu .
Vuta subira
Kunywa maji mwanangu
Hebu nipe namba zake nimwulize kwanini hakupi jibuJamani wana Jf mimi nilimtokea mtoto mmoja mkali kinyama.
Na kiukweli ata yeye uaga ananikubali kidizaini flani hivi amazing.
Ila tangu nimemtokea sasa wiki imepita.
Sijapata jibu nkimwambia ananiambia niendelee kusubirii.
Huku mimi nkizidisha kumpigaa mistari.
Chaajabu marafiki zake wananiita shemeji.
Naombeni msaada wakuu hivi nimfanyaje ili nipate mapemaa mzigo.
Au anaposema subr ntakupa jibuu ndo ameshakubali.?????
99898654Hebu nipe namba zake nimwulize kwanini hakupi jibu
Hamnaa mkuu cdhani kama yupo na hayoo mambo kwa sanaaUjuwe anajiuliza akupange namba ngapi....unaweza kupangwa namba 101....mana kuna wenzako ka MIA
jipe moyo utashinda................Hamnaa mkuu cdhani kama yupo na hayoo mambo kwa sanaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mpe maburungutu ya hela tu
Sasaa unataka nimpe pesa za vochaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Una ela au kumsumbua mtoto wa watu na mimeseji na anajitaidi kukujibu tena kwa crdt yake kuwa "usubiri" na labda mwanaume unaongeeeeea adi mate yanakauka eti unatoa mistari hahahah
Naharakisha saabu demu ni mzuri offcourse class kwetu.Mkuu majibu ya HIV ungeyaharakisha ivyo!!![emoji32] [emoji32] [emoji32]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Watu wanasubiri mwaka, wewe wiki tu makelele