Akaniambia nisubiri jibu, sasa wiki imekwishaa

This shit is easy.

Muombe date, akikubali ndiyo hiyo hiyo iwe siku ya tukio. Ila usifosi kama ataonesha kua hataki mpige show.
Akionesha kua hataki mpige show, omba blow job.

Ukikosa hivyo vyote, niconsult kwa ushauri zaidi.
Mpige show ombablow ndo unamaanishaa nni?
Maana naona ww unaeza nipa majibuu
 
Skuizi hatusubiri majibu mzee, tunamualika tu mahali. Akija unaongea kwa vitendo, sio maneno
 
Jiangalie. UE zimeanza tangu wiki iliopita!
 
This shit is easy.

Muombe date, akikubali ndiyo hiyo hiyo iwe siku ya tukio. Ila usifosi kama ataonesha kua hataki mpige show.
Akionesha kua hataki mpige show, omba blow job.

Ukikosa hivyo vyote, niconsult kwa ushauri zaidi.

Wanaume katika ubora wenu si kwa mbinu hizo aisee lazima mtu aliwe kichwa
 
Ujue anakutafutia nafasi maana mpo wengi sana vuta subira mkuu zamu yako yaja
 
Hakuna kitu naonaga ushamba kama kutongoza afu unaomba majibu
 
Nipe teknick basi dadaangu
mwanamke akikuambia atakupa jibu ujue kakuweka kwenye.matazamio yani hapo umekubaliwa kwa 60% hizo 40% zifaitie sasa ujiongeze na usiombe jibu yani usiseme "jibu langu vipi" hapo unakua unaharibu
 
mwanamke akikuambia atakupa jibu ujue kakuweka kwenye.matazamio yani hapo umekubaliwa kwa 60% hizo 40% zifaitie sasa ujiongeze na usiombe jibu yani usiseme "jibu langu vipi" hapo unakua unaharibu
Sasa nafaiti vp hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…