Akaniambia nisubiri jibu, sasa wiki imekwishaa

mwanamke akikuambia atakupa jibu ujue kakuweka kwenye.matazamio yani hapo umekubaliwa kwa 60% hizo 40% zifaitie sasa ujiongeze na usiombe jibu yani usiseme "jibu langu vipi" hapo unakua unaharibu
... naomba urafiki na wewe
 
stori amazing........dogo vipi matokeo yenu ya fom foo lakini?? upo kwenye kumi bora au kumi choka?
 
kizazi cha zinaaaa
 
0768430099

"Salio lako jipya ni TSh. 43,876,123,256,999,867.40 Hamisho la fedha kwenda +255 768430099 Mchepuko Mpya limekamilika Kiasi TSh. 55,678,900 ada TSh. 2,560,000 kumbukumbu no.PP.070207.1343.D55301314321.07/02/17 13:23"
 
Beyonce katika nyimbo yake ya " if i were a boy " , nahsi alikuwa anafundisha wanaume kutongoza, ku handle wanawake, na jinsi ya kumpata umpendae, na kum care, :, anasema

"how it feel to love a girl, i swear i would be a better man"

√√Hii inakuhusu jaribu kuvumilia
[emoji116] [emoji116]


 
Hakuna kitu naonaga ushamba kama kutongoza afu unaomba majibu
Sasa Evelyn Salt hebu nipe tekniki kidogo. Umemtokea mrembo,ukampiga neno.Hakuambii kama kakubali au kakataa. Out ukimpa mwaliko anakuja. Ila ukimwambia aingie getto, anazingua. Ukimwambia mkutane hoteli anakuja mnakula na mnakunywa. Ukimkaribisha chumbani hotelini, hataki. Mwanamke kama huyu unamuelewaje? Si bora uombe jibu ujue moja, amekubali au amekataa?
 
Kwa staili hyo ya kutumia maneno kama amazing cjui! Minakushauri tu njoo maskani hapa tuangalie series mpya imeanza inaitwa madawa sterling anaitwa makindo huku tunasubiri jibu [HASHTAG]#naenda[/HASHTAG] sebuleni toa misokoto ntarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…