Akaniambia nisubiri jibu, sasa wiki imekwishaa

Ana nia na wewe sema kuna vitu anakua yupo fifty fifty, anakereka, anajaribu kuiforce nafsi ikubali ndo.maana ukimuita anakuja....
huenda story.unazopiga anaboreka, muonekano, mavazi, harufu ya jasho n.k
kama.hayupo.kundi hilo basi.ni.wale wachunaji.mashuhuri, huyo wako ni yupi kati ya hizo?
 
mwanamke akishakwambia subiri nifkilie nitakujib siku flan jua ameshakukubali we jiongeze tu kama mwanaume kingine usiache kutuma pesa we tuma pesa tu
 
Wewe dada, nimekupigia salute.

Kwa iyo nifanyaje sasa ili nimpate? Au nisubiri adi siku akiamua mwenyewe? Maana dada angu Evelyn Salt kwa huyo mrembo cna neno jipya la kumueleza ili ashawishike
 
Wewe dada, nimekupigia salute.

Kwa iyo nifanyaje sasa ili nimpate? Au nisubiri adi siku akiamua mwenyewe? Maana dada angu Evelyn Salt kwa huyo mrembo cna neno jipya la kumueleza ili ashawishike
vihela unampa.lakini?
Get serious for sometimes uujue.msimamo wake ukimchekea sana utachunwa miaka, mia ila pia fanya ufanyavyo.ugundue.kipi kinamfanya awe vuguvugu na sio.moto wala baridi
 
vihela unampa.lakini?
Get serious for sometimes uujue.msimamo wake ukimchekea sana utachunwa miaka, mia ila pia fanya ufanyavyo.ugundue.kipi kinamfanya awe vuguvugu na sio.moto wala baridi
Shilingi mbili tatu huwa hakosi. Na matumizi madogo madogo pia nampatia.

Amewahi kuja nyumbani kwangu mara tano. Lakini mara zote anaishia sebuleni. Chumbani hataki kabisa kuingia. Siku moja nikajaribu kutumia nguvu kumvutia chumbani, tukavutana sana, mwishowe nikaamua kuacha. Maana niliona kitakachofuata ni kumbaka tu. Cha kushangaza zaidi, siku moja nilikuwa nilikuwa nae ktk harusi fulani na ktk meza yetu tulikuwa wawili tu, sasa akauchukua mkono wangu akaupeleka kiunoni kwake, na kunigusisha cheni, kisha kuniambia. Nashukuru sana, ile hela uliyonipa nimenunulia hiyo cheni. Asee, nilichanganyikiwa sana.

Ndugu yangu Evelyn Salt nashindwa kumsoma huyu kwa nini ni vuguvugu? Na nikiamua kuacha, si nitaonekana kuwa nimesusa? Na mwanaume kususa ni kichekesho
 
kaja mara tano afu hujamtmba? umekosea sana.
sasa ulitaka aje chumbani.atandike.kitanda au? si.ungemaliza hapo.hapo.sebleni?
 
Vipi matokeo ya f4 umetoboa, au unatafta chuo cha hotel management
 
kaja mara tano afu hujamtmba? umekosea sana.
sasa ulitaka aje chumbani.atandike.kitanda au? si.ungemaliza hapo.hapo.sebleni?
Yaani akija home, anakua ni mwenye furaha sana na anaongea vizuri. Tatizo ni pale ninapomsogelea na kutaka kuushika mwili wake. Anakua mkali na anakasirika sana. Na hata usoni ukimtazama, unaona kabisa kuwa kachukia kutoka moyoni.

Muda fulani huwa najiuliza, labda hana kitobo?
 
mwambie akukome akitaka kula lazma aliwe
 
Vijana mnazidi kupotoka,kila unayemtongoza jambo unaloliwazia ni kupiga mzigo.....hivi hiyo mizigo huwa haiwachoshi maana si kwa mafurushi hayo
 
Jiangalie. UE zimeanza tangu wiki iliopita!
anaijua hata hiyo UE maana inaweza kuwa msamiati kwake!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…