jamani sasa mnanionea, hivi macho yana pazia kweli?
Wala hujakosea sisy,hapa wanahusika watu wa CRDB, the Bank that Listens! otherwise mi sitishiki kabisaa! wewe unataka BB ya tandale mall, mwenzio nataka apple iPad! la sivyo hii hadi kwa maza! na huyo auntie mie namjua tulishawahi kupita na dingi hapo, ntakuonesha halafu tuanze tabia!😛oa😛oa
Sasa kama ni hivyo mkuu, si ungeomba na namba ya simu? au 1999 simu za viganjani zilikuwa bado? :A S embarassed:
Wala hujakosea sisy,
Safari hii huyu mdingi hachomoi,
Tumkomalie mpaka kieleweke,
Coz mie nishamshtukia maana amefululiza kuleta visred hapa vya kiana flan,
Cjui huyo dada yake ni memba humu!!!
Ni kweli kilikuwa kitu cha white......................kipindi hicho kitu cha Boxer kilikuwa hakijatinga kitaani, kulikuwa na kitu kinaitwa VIP.......... c.h.u.p.i za mpira, kama ikikatika kwenye msamba halafu unacheza mpira utaikuta ishafika kifuani zamaaani............... watu tumetoka mbali bana........................unacheza na mapaja halafu kama kilikuwa kitu white na vipi hukuchafua boxer yako mkuu
mawani hayajakuwekea pazia! wewe dingi unatakiwa uchongewe miwani ya mbao upewe na fimbo nyeupe! chabo kila leo! wallah mwaka huu mie na wewe hata kama ada ya form one hautanilipia!
:hat::hat::hat:
Ni kweli kilikuwa kitu cha white......................kipindi hicho kitu cha Boxer kilikuwa hakijatinga kitaani, kulikuwa na kitu kinaitwa VIP.......... c.h.u.p.i za mpira, kama ikikatika kwenye msamba halafu unacheza mpira utaikuta ishafika kifuani zamaaani............... watu tumetoka mbali bana........................

Teh teh teh mkuu wanikumbusha mbali nakumbuka kipindi hicho ukiifua unaianika sehemu hadhalani sio kama siku hizi zinafichwa
VIP kama unacheza mpira, zilikuwa hazina adabu, heheheee 🙂
Wazee ndiyo walikuwa wanavaa Boxer zimeandikwa 007
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa hiyo alikuwa nayo Dingi, nakumbuka niliwahi kuiiba, nikaivaa shule na kaptula ya kaka yangu ambaye alikuwa ndio amemaliza shule (kipindi hicho ilikuwa kaka akimaliza shule unachukuwa kaptula yake kisha unasongesha) sasa ile kaptula ilikuwa ni kubwa kwangu nikaivaa kisha nikaifunga na mkwiji (kamba ya tambara) ili isianguke. Wakati tunacheza mpira pale shuleni ule mkwiji ukakatika kaptula ikadondoka nikabaki na Boxer ya 007 ya mdingi......... mdogo wangu wa kike ( huyu alikuwa mnoko kama hawa wanangu Cantalisa na King'asti.............haiyumkini hawa wanagu wamechukuwa tabia ya shangazi yao huyu) akakimbia nyumbani na kumweleza mdingi.......... jioni nilipata kichapo kitakatifu...............Hii sitaisahau
Umenikumbusha mbali sana bro...............LOL

Yani baba kwa mkwara huu ndio unaharibu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Nyie nyie nyieeeee, .......jamani mbona hamna dogo!............. Nitabadilisha ID sasa na kamwe hamtanijua.......... nakuapieni wallahi
Hahaaa, Mkuu hii ya kufunga kaptura na kamba (kinyamwezi hiyo kamba wanaiita Mkwato/mkwatu) naikumbuka sana na umenirudisha long time. Niliishi kwa miaka kadhaa nje ya Mkoa wa Tabora na niliporudishwa kuanza shule kijijini ndipo nilianza kuona vituko kama hivi.
Nilishindwa kuelewa jamaa wanawezaje kutembea msituni bila viatu na visiki vya nyasi vinachoma kishenzi na hadi leo imenishinda. Ila kiboko ilikuwa ni hii.... (Ntaiandika chini).
Pole kwa kipigo kutoka kwa Mzee ila nafikiri ilikusaidia ili uanze kuheshimu vitu vya watu, hahahaaa 🙂 Huyo sister mkumbushe siku moja jinsi alivyokusabishia kipigo.
Vijijini ilikuwa raha sana maana vibinti vina sketi tu bila chupi na sisi ni vikaptura tu bila chupi. Sasa siku moja nilipata kipigo kwanza fimbo na mwisho nikaambiwa nichuchumae na kupitisha mikono ndani ya miguu na mikono ije ishike masikio - Kaptura ndiyo katikati imechanika na sina chupi...... Nilifanya show ya bure na ilikuwa mzinga wa SOO!!!!! Kwa kawaida, kuona vinonino vya watoto wa darasa la tano kushuka chini, ilikuwa si ajabu. Kweli maisha duniani yamebadilika maana sasa hivi vyupi karibu kila mtu anaweza kununua maana zinatoka China na India hadi unashindwa kujua, watengenezaji wanapata hela gani.
Mwisho nimalizie hiyo habari nilikuwa naandika hapo juu............. (Kama unakula au waweza pata kichefuchefu basi iiishie hapa hapa na usisome zaidi ya hapa) ........ Kiboko ilikuwa kuwa kijana akitawaza kwa kuweka Masaburi chini ardhini na kujiburuza ili kujisafisha, lohhh. Hii hadi leo huwa najiuliza, huwa inabidi wakae mkao gani ili kufanya huo UJUZI wao?
Khaaaaa baba,Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa hiyo alikuwa nayo Dingi, nakumbuka niliwahi kuiiba, nikaivaa shule na kaptula ya kaka yangu ambaye alikuwa ndio amemaliza shule (kipindi hicho ilikuwa kaka akimaliza shule unachukuwa kaptula yake kisha unasongesha) sasa ile kaptula ilikuwa ni kubwa kwangu nikaivaa kisha nikaifunga na mkwiji (kamba ya tambara) ili isianguke. Wakati tunacheza mpira pale shuleni ule mkwiji ukakatika kaptula ikadondoka nikabaki na Boxer ya 007 ya mdingi......... mdogo wangu wa kike ( huyu alikuwa mnoko kama hawa wanangu Cantalisa na King'asti.............haiyumkini hawa wanagu wamechukuwa tabia ya shangazi yao huyu) akakimbia nyumbani na kumweleza mdingi.......... jioni nilipata kichapo kitakatifu...............Hii sitaisahau
Umenikumbusha mbali sana bro...............LOL
Aisee mtambuzi kaka we ni nouma una mastory balaa. ila me navutiwa na headin za sredi zako aisee mh.
Hahahahaha!nakumbuka kipindi hicho nasoma Primari (Na mie nilianzaga kamchezo kakupiga CHABO zamani!) nilikuwa napenda kuangalia vibinti vikicheza ule mchezo wa REDE.............. sasa kama kuna binti kanunuliwa c.h.u.p.i mpya, vile ukirushwa mpira, wakati anaukwepa anafanya mbwembwe kwa kunyanyua sketi au gauni lake juu ili tuone hiyo chupi mpya.......... nilikuwa nafaidi kweli na nilikuwa namudu kubashiri kwa usahihi kabisa binti kavaa c.h.u.p.i ya rangi gani...............
Hii maneno asije kuiona Canatalisa na King'asti.....LOL