Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Salam sana wana cc wote,
Nimekumbuka wimbo wa ...pepe kale... R.I.P
unaoitwa ...Shikamoo (Hidaya)...... kuna mahali alisema...
Nimepoteza mupenzi wangu kule Tanzania .......
Nimepoteza mkanda wa kiuno.......

Hapa namtafuta Bishanga ..... sina maneno ya nyongeza.

===============================================
Miaka imeenda, kweli Mpenzi wangu Bishanga hajulikani kabisa aliko.
 
Last edited by a moderator:
Salam sana wana cc wote,
Nimekumbuka wimbo wa ...pepe kale... R.I.P
unaoitwa ...Hidaya...... kuna mahali alisema...
Nimepoteza mupenzi wangu kule Tanzania .......
Nimepoteza mkanda wa kiuno.......

Hapa namtafuta Bishanga ..... sina maneno ya nyongeza.
Sabakheri la"aziz waonaje hali yako,
Awanusuru Mwenyezi hali yangu kama yako,
Shida yangu sijiwezi,
Dawa yangu sura yako,
Na mimi sijitambui,
Naridhia ombi lako,
Wengine wachokozi nakupenda peke yako,
Na mimi sijitambui nakupenda peke yako.
Source: shakira
 
Last edited by a moderator:
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako..

Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana...

Siyo rahisi kuishi bila wewe, maana wewe maishani mwangu ni sawa na maji katika maisha ya binadamu. Mwaaaaa

Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu.

......

Unakoelekea wewe.... . mh.
 
Kupitapita kwako kunanipa wazimu,
Kila mara akipita nyumbani kwangu kuelekea dukani,
Mwendo wake na sura yake kweli vinanichanganya,
Hiye hiye hiye,
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa...
Sherehe kubwa sana nitaifanya nyumbani
Majibu mazuri nikipata,
Hapo nitapokubaliwa...
Source: mbaraka mwinshehe mwaruka -RIP
KOKUTONA na Kipipi jiandaeni 'okuhekura',
Nivea.......you were right.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom