Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

Sabakheri la"aziz waonaje hali yako,
Awanusuru Mwenyezi hali yangu kama yako,
Shida yangu sijiwezi,
Dawa yangu sura yako,
Na mimi sijitambui,
Naridhia ombi lako,
Wengine wachokozi nakupenda peke yako,
Na mimi sijitambui nakupenda peke yako.
Source: shakira

Mamndenyi kazi kwako Bishanga ndo huyooo
 
Last edited by a moderator:
.........Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,
wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi....


Kupitapita kwako kunanipa wazimu,
Kila mara akipita nyumbani kwangu kuelekea dukani,
Mwendo wake na sura yake kweli vinanichanganya,
Hiye hiye hiye,
Nimempenda msichana akikubali tufunge ndoa...
Sherehe kubwa sana nitaifanya nyumbani
Majibu mazuri nikipata,
Hapo nitapokubaliwa...
Source: mbaraka mwinshehe mwaruka -RIP
KOKUTONA na Kipipi jiandaeni 'okuhekura',
Nivea.......you were right.
 
.........Sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,
wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu
mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi....
Cc: Mr Rocky ......ukisema simtaki wenzio wanasema nitampata lini.....mwaka huu ni wewe na kijiba cha roho.....halo halo ...halo ya bishanga na Mamndenyi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom