Akata Korodani za mumewe kisa kamnyima tu Shilingi Elfu Kumi ( Tsh. 10,000/= ) ya matumizi kuelekea Pasaka hii ngumu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Na nyie Wanaume wenzangu hebu muwe Kwanza mnaangalia na Wanawake wa Kuwaowa na si Kukurupuka kama hivi hatimaye Mkeo mwenyewe ambaye umemtolea Mahari, Unamlisha, Unamvalisha na kumpa Huduma zote Stahili halafu leo anazikata kabisa( Korodani ) zako Kikatili hivi.

Wanawake wa Siku hizi β€˜ Mmerogwa β€˜ na nani?

Habari kamili Soma Gazeti la Mtanzania la leo tarehe 11 April, 2020 Ukurasa wa Pili.
 
Dawa gao ni kugegeda na kuwaacha kama anavyofanya dayamondi
 
[emoji2296]kutakua na sababu ingine mbali na hio kwa kweli waseme ukweli tu
 
Achana na habari kamili, hatuna mpango nazo....wewe tuwekee tu ushahidi wa hizo pumbu zilizokatwa inatosha.
 
[emoji2296]kutakua na sababu ingine mbali na hio kwa kweli waseme ukweli tu


Ukweli gani wakati habari hii ni uongo, wewe unafikiri kukatwa hicho kiungo ni kazi rahisi hivyo?? Muhanga alikuwa kalewa??!! --- kwanini akate hicho kiungo au alikuwa hajala nyama kwa muda mrefu, alitaka akapike???🀣🀣
 
Ukweli gani wakati habari hii ni uongo, wewe unafikiri kukatwa hicho kiungo ni kazi rahisi hivyo?? Muhanga alikuwa kalewa??!! --- kwanini akate hicho kiungo au alikuwa hajala nyama kwa muda mrefu, alitaka akapike???[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha umewaza kwa sauti kama mm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…