Akata Korodani za mumewe kisa kamnyima tu Shilingi Elfu Kumi ( Tsh. 10,000/= ) ya matumizi kuelekea Pasaka hii ngumu

Akata Korodani za mumewe kisa kamnyima tu Shilingi Elfu Kumi ( Tsh. 10,000/= ) ya matumizi kuelekea Pasaka hii ngumu

Niwaze maisha
Niwaze watoto shule
Niwaze Kodi ya nyumba
Niwaze wew upendeze
Sasa niwaze na kuficha pumbu[emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Yes! Unaonaje? Inafanya kazi?

Sent From Galaxy S9
We nmepata route za toi 2 leo asubuh sema kidogo si sana

Ila natumia pack1 per day si sawa?! Au nitumie x3?!

Ila nmechukua taste ya chungwa ni nzuri mno hii kitu haikeri.
 
Back
Top Bottom