Akataa mumewe kuwa na rafiki wa kike

Akataa mumewe kuwa na rafiki wa kike

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
141118113637_mary_j_512x288_bbc.jpg

Mwanamuziki Mary J Blige kutoka Marekani amekataa kumkubalia mumewe kuwa na rafiki wa kike.Je,kunani?



Msanii huyo wa siku nyingi anayefahamika zaidi kwa wimbo wake wa ''No More Drama'' ameolewa na meneja wake Isaac Kendu tangu mwaka 2003,na wamekubaliana kwamba hawatakuwa na marafiki wa jinsia tofauti kwa kuwa iwapo swala hilo litapuuzwa basi hakuna ndoa itakayodumu.


Katika mahojiano na gazeti la Stella,bi Mary alibaini kwamba ''marafiki wote wa kiume kwake na marafiki wote wa kike kwangu'',.


''Katika uhusiano wa ndoa hakuna cha yule ni rafiki yangu wa kike ama huyu ni rafiki yangu wa kiume'', hilo haliwezi kufanyika katika ndoa iwapo munataka ndoa yenu idumu.alisema mwanamuziki huyo.


Mary ni mama wa kambo wa watoto wa Kendu,ambao ni Jordan mwenye umri wa miaka 16,Briana mwenye umri wa miaka 18 na Nas mwenye umri wa miaka 15 kutoka kwa uhusiano mwengine.Mia
 
Yuko right na pia yuko wrong


Yuko right kwa sababu wanawake sie hatuna dogo tunapenda vya watu mno mwache amuekee limit tu

Yuko wrong kwa kua, kua na ukaribu na.girl sio kua mtadate n mtu tu tabia yake hivo pengine alimuona mumewe kiwembe kinakata huku na huku kaamua kukaza uzi mapema.
 
nchi yenyewe u.s! wanajisumbua kwani ndoa za jinsia moja kila kona, atashangaa siku atakapokuja kuambiwa mmewe kaolewa
 
Back
Top Bottom