Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
Kama dada mmoja hapa arusha juzi ameumwa chuchu na jamaa afu akakitema kiko km kifungo.yule dada alikuwa analia jamani adi nilimuurumia.alidate na jamaa kumbe chiziππππππ
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
Katili sana huyo mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
Uume umeshonwa so haukukatika kabisaDuh hivi mtu ukikatwa uume unakuwa na haki ya kuishi?
Kilikuwa kibamia au kitango!?ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Ndio zao,Apo unakuta ana kisu ,wembe,madawa ya kukuzimisha ukate Moto,kwa Nini mwanamke wa hivyo kuangaika nae,ata kukojoa kwenyewe si inakua sio starehe tenaHuyo atakuwa malaya alikuwa anadhulumiwa na mteja akaamua kujitetea. Watu wa Arusha acheni upuuzi. Wanawake kwa wanaume wote wakorofi hatari. Hilo janajike liliendaje gesti na kisu?
. They deserve each otherππππππ
Baadhi ya wanawake ni viumbe katili sana..
Jamani umkate baba wa watu machine unataka aitwe Auntie Aisha..??
Pole yake maskiini..!!
Huko Arusha mna shida gani jamani? Kwani Arusha iko karibu na Mara kwamba mmekopi kwa Wakurya?Kama dada mmoja hapa arusha juzi ameumwa chuchu na jamaa afu akakitema kiko km kifungo.yule dada alikuwa analia jamani adi nilimuurumia.alidate na jamaa kumbe chizi