Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 259
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV