Akatwa uume akiwa gesti Arusha

Akatwa uume akiwa gesti Arusha

ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Mimi: alikufa ama hajafa
 
Wanaume wengine aisee!.

Hivi mwanamke anawezaje kukuzidi nguvu na kukukata? Yaani unazidiwa nguvu na mwanamke? Sasa nawe si Aunt Sada tu?

Hata anishike namna gani, kofi moja tu namzimisha na kumuamsha mwenyewe.

Pumbavu!.
Timing tu Kaka.

Hujawahiona Mtu ana Bomu au bastola akawaiwa na wembe na kuweka mikono juu?

Timing ikiwa kwa adui hata awe Mtoto wa miaka 10 tu anaweza kuhatarisha uhai wa Magwiji wa martial arts Jack Chain, Don Yen.
 
ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.

Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Mwanamke wa kimeru katika ubora wao
 
Timing tu Kaka.

Hujawahiona Mtu ana Bomu au bastola akawaiwa na wembe na kuweka mikono juu?

Timing ikiwa kwa adui hata awe Mtoto wa miaka 10 tu anaweza kuhatarisha uhai wa Magwiji wa martial arts Jack Chain, Don Yen.
At least you have a point. Lakini, si mnagombana? Unapswa kuwa makini mno na mtu unayedili naye..
 
Nilikutana na mmoja Apo chuga,anakuja analeta pigo za kihuni,anataka nikamtembezee,uku ananipulizia Moshi wa bangi,nikaona dharau kubwa ,kanichukuliaje,Kama kapinda Mimi nimenyongorota,nikaona uyu leo hatonisahau,nimvute sehemu hakuna wenzake au watu,nikamwambia sawa twende nikamle,nikampeleka chocho moja Kama unaenda Babylon,nikambananisha kwa nguvu kwenye Kona,Ile bangi nikamzimishia utosini kwake,mikono nikaibana asiweze vuta zana zake kama wembe,nilimtandika haswa,mpaka nikahisi nitamuua,nikakafunga mdomo,na miguu,nikasepa
[emoji1787]
 
Safi kabisa dawa ya deni ni kulipa,
Alipaswa akinyofoe kabisa kisha akining'inize dirishani,

Wanawake wangapi wanafanyiwa ukatili utasikia "kala vya watu, kaipata size yake"
Kama yule dada wa bank aliyechomwa sindano ya sumu na kuchomwa moto juu,

Mijanaume mishenzi sio ya kuionea huruma ni kukata makalio na vikojoleo tu,

Regina kunywa mbege huko nitalipa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom