Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sasa,umempa pole kwani ndiye aliyepelekwa sunna kwa nguvu?😂Pole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa,umempa pole kwani ndiye aliyepelekwa sunna kwa nguvu?😂Pole mkuu
Nguvu azitoe wapi?Alitaitiwa akawa kama mkebe tu.Nae jamaa angeondoka na kisimi.
Bila picha huu Uzi ni batili 😂😂🤣🤣ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Mm sijui kama Kuna MWANAMKE anaweza kunidunda.....Nguvu azitoe wapi?Alitaitiwa akawa kama mkebe tu.
Kule hakuaminiki yaani Toka waseme unawekewa madawa Huwa sihitaji mwanamke wa Arusha.Nikiendaga Arusha nikimaliza kilichonipeleka nakuwa chumbani tu, nikizidiwa napiga nyeto
Hilo ombi linahitaji kibali/ruhusa ya CAG.Bila picha huu Uzi ni batili 😂😂🤣🤣
🤣🤣😂😂Hilo ombi linahitaji kibali/ruhusa ya CAG.
Unahitaji hongera.Usije ukabweteka na kudhania unawahimili wote.Utakuja kukaliwa shingoni uchezee kichapo hadi ulie.Kuwa ngangari.Mm sijui kama Kuna MWANAMKE anaweza kunidunda.....
Labda kama timing mtu umelala fofofo...
Mkopo umemgharimuNae jamaa angeondoka na kisimi.
MWANAUME ni MWANAUME PERIOD!Unahitaji hongera.Usije ukabweteka na kudhania unawahimili wote.Utakuja kukaliwa shingoni uchezee kichapo hadi ulie.Kuwa ngangari.
Siku ya kuumbuka haina jina.Simfahamu,ila kwa umri huo wa 40+ ni lazima kaoa.Labda,awe ni Kataa ndoa!Kibaya zaid unakuta aliaga kwa familia yake, amepata safari ya dharula kikazi.
Unachekesha..Kibaya zaid unakuta aliaga kwa familia yake, amepata safari ya dharula kikazi.
amekutana na angela mao!!!ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Kwani ni gharama kiasi gani kukiweka kwenye pindo ya shumizi yake?Hicho kisu alikipata wapi?
Ili naye atakapobadilika ajue adha ya kutolipwa stahiki ya huduma.ARUSHA: Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina moja la Silayo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 mkazi wa Kata ya Sakina jijini Arusha, amekatwa uume wake kwa kisu na mwanamke anayedaiwa ametambulika kwa jina moja la Regina, wakati akiwa Gesti Jijini hapa baada ya kuzuka ugomvi baina yake na mwanamke huyo usiku wa manane, kiasi cha uume huo kushonwa nyuzi nane.
Diwani wa kata ya Sakina, ndugu Elvicent Wilson akizungumza na GADI TV kwa njia ya simu amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema mbali na mwanaume huyo kujeruhiwa uume wake amekatwa sehemu mbalimbali ikiwemo makalio. CHANZO: GADI TV
Kama Silayo hakutoa dau kama walivyokubaliana,basi huenda walikuwa na visa vya muda mrefu!Kwani ni gharama kiasi gani kukiweka kwenye pindo ya shumizi yake?