Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

Akauliza kwani hauna uchungu na nchi yako kupoteza pesa nyingi hivi?

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
379
Reaction score
603
Jibu: kwani wao hawaibi?

Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
 
Hakika, uzalendo na uchungu na nchi hii pamoja hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wezi wa mali za umma, mafisadi, wahujumu uchumi. Hapo hata walio chini yao na raia wa kawaida wataogopa kutenda hayo!!
 
Huyo analinda hela za uchaguzi mkuu. Wasije kuzitaka wakakuta senti hata moja hakuna. Kama huamini shauri yako.
 
Nchi ya myopic leadership hii,kutwa kweye ziara kwa lengo la kupata allowance mfano Nape kuzunguka na chopa ya jeshi kukagua anuani za makazi weledi sifuri, uwajibikaji sifuri,kuiba pesa za miradi ndo kitu wanacho weza na kuunda tume zinazo tumia kodi hovyo hovyo tu rejea kikosi kazi Cha Samia.

"Education is only weapon that can change the world"
 
Jibu: kwani wao hawaibi?

Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
Yeye mwenyewe huyo kiongozi kaingia madarakani kwa wizi wa kura. Hapo unategemea alinde chochote zaidi ya maigizo?
 
Aliwateka wagombea wa upinzani ili wasirudishe fomu halafu akapita bila kupingwa.

Bure kabisa!

Mjinga kabisa, halafu unakuta mtu kaingia madarakani kwa mbinu chafu ila anataka aheshimiwe!
 
Back
Top Bottom