Hakika, uzalendo na uchungu na nchi hii pamoja hatua kali kuchukuliwa dhidi ya wezi wa mali za umma, mafisadi, wahujumu uchumi. Hapo hata walio chini yao na raia wa kawaida wataogopa kutenda hayo!!Jibu: kwani wao hawaibi?
Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
Yeye mwenyewe huyo kiongozi kaingia madarakani kwa wizi wa kura. Hapo unategemea alinde chochote zaidi ya maigizo?Jibu: kwani wao hawaibi?
Viongozi wetu wakiwa na uchungu sana na hii nchi hata walio chini hawataiba watakuwa wazelendo. Kutwa kiongozi mkubwa ananazunguka kulinda pesa za nchi hii ataweza peke yake bila mfumo imara unawajibisha kila mtu kutii sheria?
Aliwateka wagombea wa upinzani ili wasirudishe fomu halafu akapita bila kupingwa.Yeye mwenyewe huyo kiongozi kaingia madarakani kwa wizi wa kura. Hapo unategemea alinde chochote zaidi ya maigizo?
Aliwateka wagombea wa upinzani ili wasirudishe fomu halafu akapita bila kupingwa.
Bure kabisa!