Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Ha ha alivyokua anamsifia Bint Makamba and family na akawavua nguo na hata Wema aangalie sana dalili zipo wazi siku isiyo na jina ataisoma
Kina wema, chadema na woote anaowasifia. Wajiangalie sana.. Akiwageuka kama alivowageuka ccm wafurahi tuu kama wanavofurahi sasa
 
kama lengo tupitie huko sawa! tumeona hiyo mvua !!
 
Nashangaa sana watu wansema eti.mange ana matusi hivi hayo.matusi hamtukanagi huko.mtaani?? Je hamyajui? Je siku mkitibuana na binadamu wenzenu je hamyatamki hayo??
 
Mshaanza,MTU alishasema amelewa sana

Mkuu aliesema anamtafuta ni nani? Kuna kauli zinaongelewa na viongoz wetu kama watoto ujue yule akipata tatizo mtu wa kwanza kuhisiwa na serikali yetu kila uchwao wanamlilia tayar watu wanajua ana bifu kubwa na serikali.
 
yaani kama kuna great thinker humu anayeamini mange amelewa au account yake iko hacked, basi atakuwa na upeo mdogo mnoooo. you dont know her. yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya chochote. anachokifanya ni makusudi ili kutoa attention kwenye event ya danube gsm mall

Alikuajiri lini kuwa Spokesman / Spokeswoman wake?
 
Hapana sio kawaida yake yule dem kutoa matusi mfululizo, something is wrong
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom