Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Ha ha alivyokua anamsifia Bint Makamba and family na akawavua nguo na hata Wema aangalie sana dalili zipo wazi siku isiyo na jina ataisoma
Kina wema, chadema na woote anaowasifia. Wajiangalie sana.. Akiwageuka kama alivowageuka ccm wafurahi tuu kama wanavofurahi sasa
 
kama lengo tupitie huko sawa! tumeona hiyo mvua !!
 
Mange anaacount mia kidogo usiku tulikuwa twala umbea
 
Nashangaa sana watu wansema eti.mange ana matusi hivi hayo.matusi hamtukanagi huko.mtaani?? Je hamyajui? Je siku mkitibuana na binadamu wenzenu je hamyatamki hayo??
 
Mshaanza,MTU alishasema amelewa sana

Mkuu aliesema anamtafuta ni nani? Kuna kauli zinaongelewa na viongoz wetu kama watoto ujue yule akipata tatizo mtu wa kwanza kuhisiwa na serikali yetu kila uchwao wanamlilia tayar watu wanajua ana bifu kubwa na serikali.
 

Alikuajiri lini kuwa Spokesman / Spokeswoman wake?
 
Hapana sio kawaida yake yule dem kutoa matusi mfululizo, something is wrong
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…