The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Ule uandishi ulikuwa sio wa kwake kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna namna umekalili neno povu utaishia hivyo ila sisi tunawapa fact tu siwez kushabikia michirikupovuuuu
Itakuwa ni kulewa pamoja na dude lilioamshwa...si kawaida ile!Mange namkubali Fulani hivi,,ila kwa Leo hajadukuliwa nahisi,kwa sababu inakuwaje hacher atume recent photo?is that possible??
Anajiosha tuu baada ya kulewa
Itakuwa ni kulewa pamoja na dude lilioamshwa...si kawaida ile!
Ujue wadogo zake 'da Mange' huwa hawana reasoning...yani ni kama wanapelekeshwa...wamelichukua kama lilivyo.Hakuwa hacked wala nini.Alitaka attention tu.![]()
Swali jee mange amedukuliwa kweli au ni usanii?
Kama amedukuliwa asingereact kisimple hivyo naona anaendelea kupost mengine
Kapost yeye mwenyewe itakua
Zile picha za kulewa wamezipata wapi kama sio yeye mwenyewe?
Well said angekua hacked zingeonekana post za kuisifia ccm ni yeye pekee zile picha za kulewa kazipata wapi?Haha wapumbavu ndio watakaoamini sio yeye..
Hivi kweli kabisa mtu ahack account ya Mange ashindwe kufanya mambo ya maana kama kudisclose informers wake wote na mengineo aanze kuongelea kumtukana Rais kama anavyofanya Mange?
Yaani kama kuna mtu anaamini amekuwa hacked atakuwa na tatizo kubwa sana la kufikiria, yule ni Mange hakuna hacker mjinga wa kuhack na kuandika upuuzi uleule wa Mange..
Hapo akili zimemrudia akaona amejishushia credibility kwa wanaomuamini anadanganya kawa hacked, ..
Kweli kbs na hakuna ulevi wa vile naona alipost tu akaharibu haribu maneno mange buanaMange namkubali Fulani hivi,,ila kwa Leo hajadukuliwa nahisi,kwa sababu inakuwaje hacher atume recent photo?is that possible??
Anajiosha tuu baada ya kulewa
Hapo sasa hata mm nashangaa jee picha aliyopost akiwa amelewa waliitoa dm?Ujue wadogo zake 'da Mange' huwa hawana reasoning...yani ni kama wanapelekeshwa...wamelichukua kama lilivyo.Hakuwa hacked wala nini.Alitaka attention tu.
Nasikia aliingia insta live.Sasa alikuwa hacked picha walitoa dm?
He hahaha alijidukuaKweli kbs na hakuna ulevi wa vile naona alipost tu akaharibu haribu maneno mange buana
Weee una akili sana..yaani kama kuna great thinker humu anayeamini mange amelewa au account yake iko hacked, basi atakuwa na upeo mdogo mnoooo. you dont know her. yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya chochote. anachokifanya ni makusudi ili kutoa attention kwenye event ya danube gsm mall
kudukuliwa ndio nini///Mambo vipi wapendwa. Napenda kuwapa tetesi zinazoabza kusambaa mtaani kuwa mange hajulikani alipo na account yake ya insta imedukuliwa na "watu wasiojulikana" hii ni baada ya kuanza kupost matusi na kuandika makorokocho kama mtoto anaeanza darasa la kwanza. Kuna video hapa inagoma ngojeni niiconvertSnitch
Account ya mwanaharakati mange kimambi imepotea tena jioni hii na imechukuliwa na watu wasiojulikanaaa
Account inapost matangazo ya fiesta na watu wanaotafutwa jambo ambalo sio la kawaida
Na kingine ni kuwa mange toka asubuhi leo hapatkana watssap
Naona giza mbele ya mange
Yaani hata sielew vile yaani