Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Haha wapumbavu ndio watakaoamini sio yeye..

Hivi kweli kabisa mtu ahack account ya Mange ashindwe kufanya mambo ya maana kama kudisclose informers wake wote na mengineo aanze kuongelea kumtukana Rais kama anavyofanya Mange?

Yaani kama kuna mtu anaamini amekuwa hacked atakuwa na tatizo kubwa sana la kufikiria, yule ni Mange hakuna hacker mjinga wa kuhack na kuandika upuuzi uleule wa Mange..

Hapo akili zimemrudia akaona amejishushia credibility kwa wanaomuamini anadanganya kawa hacked, ..
 
Mange namkubali Fulani hivi,,ila kwa Leo hajadukuliwa nahisi,kwa sababu inakuwaje hacher atume recent photo?is that possible??
Anajiosha tuu baada ya kulewa
 
Mange namkubali Fulani hivi,,ila kwa Leo hajadukuliwa nahisi,kwa sababu inakuwaje hacher atume recent photo?is that possible??
Anajiosha tuu baada ya kulewa
Itakuwa ni kulewa pamoja na dude lilioamshwa...si kawaida ile!
 
Hajahakiwa wala nini,,amebugi fullstop.
Haiwezekani MTU anasema 'nimepata wakati mgumu kupata my account back'. while alikuwa amelala.!
Awe makini,,ulevi ni jambo baya sana haswa kwa MTU mwenye maadui wengi vile
Itakuwa ni kulewa pamoja na dude lilioamshwa...si kawaida ile!
 
Swali jee mange amedukuliwa kweli au ni usanii?
Kama amedukuliwa asingereact kisimple hivyo naona anaendelea kupost mengine
Kapost yeye mwenyewe itakua
Zile picha za kulewa wamezipata wapi kama sio yeye mwenyewe?
Ujue wadogo zake 'da Mange' huwa hawana reasoning...yani ni kama wanapelekeshwa...wamelichukua kama lilivyo.Hakuwa hacked wala nini.Alitaka attention tu.
Nasikia aliingia insta live.Sasa alikuwa hacked picha walitoa dm?
 
Well said angekua hacked zingeonekana post za kuisifia ccm ni yeye pekee zile picha za kulewa kazipata wapi?
ni mjinga tu ataamini mange kadukuliwa
 
Mange namkubali Fulani hivi,,ila kwa Leo hajadukuliwa nahisi,kwa sababu inakuwaje hacher atume recent photo?is that possible??
Anajiosha tuu baada ya kulewa
Kweli kbs na hakuna ulevi wa vile naona alipost tu akaharibu haribu maneno mange buana
 
Ujue wadogo zake 'da Mange' huwa hawana reasoning...yani ni kama wanapelekeshwa...wamelichukua kama lilivyo.Hakuwa hacked wala nini.Alitaka attention tu.
Nasikia aliingia insta live.Sasa alikuwa hacked picha walitoa dm?
Hapo sasa hata mm nashangaa jee picha aliyopost akiwa amelewa waliitoa dm?
 
Weee una akili sana..

Hata mi nimewaza hiki kitu, alitaka zari apotezewe ili tudate na yy na hajalewa wala kuhakiwa...ni mbinu tuu
 
kudukuliwa ndio nini///
 
Account ya mwanaharakati mange kimambi imepotea tena jioni hii na imechukuliwa na watu wasiojulikanaaa
Account inapost matangazo ya fiesta na watu wanaotafutwa jambo ambalo sio la kawaida

Na kingine ni kuwa mange toka asubuhi leo hapatkana watssap

Na kinachotia utata ni kuwa mange hajulikani alipo mpaka sasa
Naona giza mbele ya mange
Yaani hata sielew vile yaani
 
Mangi Kimambi niko nae tume-elope, tunakula raha, bili juu yangu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…