Akaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeriWakuu habari zenu?
Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria waruhusiwe kuisimamia kwa muda flani kwakuwa kuna miamala ya fedha (za kibiashara) ambayo bado inaingia kwenye hiyo account. Inawezekana???
Kumbe...baada ya uteuzi unaweza kuioperate. Sawa asante.Akaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeri
😀😂👍sio mjomba kweli aliefariki!?.
account inafungwa baada ya msimamizi kupatikanaAkaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe
na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeri
Sawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??Nadhani inawezekana niliwahi kuona binti nikiwa ktk folen nmb aliekua mbele yangu alikua akipeleka ombi hill akawa anaulizwa kama ameleta muhtasari was kikao cha mirathi kama sikosei, cheti cha kuzaliwa hichi sijui no cha nani, cheti cha kifo hvi ndio navikumbukana. Nadhan ujienda bank watakupa maelekezo kwan watakua wanafanya
Kama miamala ya fedha inaingia ina maana iko active haitafungwa. Ila kwa nini wanataka iendelee wakati mwenyewe kesha kufa? Wafnye process ya mirathin ili waiclaim.Wakuu habari zenu?
Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria waruhusiwe kuisimamia kwa muda flani kwakuwa kuna miamala ya fedha (za kibiashara) ambayo bado inaingia kwenye hiyo account. Inawezekana?
😄😄sio mjomba kweli aliefariki!?.
Ni kweli huwa zinahamishiwa kwenye account ya mahakama ikiyoko BOT kisha baada ya taratibu zote warithi wake huingiziwa kadri ya uwiano uliowekwaSawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG mwaka huu akaunnti hii ina Tshs 21 Bilion na wahanga wana hadi miaka 20 hawajaenda kuchukua fedha zao. Daaaah halafu BOT wako kimiaaaa hata hawatoi elimu wala majina ya wenye mapesa yao wajitokeze!Ni kweli huwa zinahamishiwa kwenye account ya mahakama ikiyoko BOT kisha baada ya taratibu zote warithi wake huingiziwa kadri ya uwiano uliowekwa
Makamani ulienda kupata tafsiri ya kisheria kutoka kwa hakimu au ulienda kupiga soga na wahudumu?Kumbe inawezekana.... Leo mhudumu pale mahakamani anasema eti ni lazima ifungwe
Kuna makarani hakuna kitu kichwani, wanataka kukutengenezea ugumu utoe notiKumbe inawezekana.... Leo mhudumu pale mahakamani anasema eti ni lazima ifungwe
Nimecheka, ukirudi mwambie secretary taaluma yako ni ya uchapishaji wa hukumu mengine sio utaalamu wako, akisema kwanini mwambie pesa zinaingiaje account ya mahakama nimecheka [emoji23] ni mahakama gani hiyo ya kinoSawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??