Mkuu naomba nipange vizuri ili niongee with facts maana nimeona watu mtu amefariki na account inafungwa baada ya mda waliopanga wao kulingana na sababu za msingi...sasa maelezo ya yule karani leo yanaleta ukakasi.Nimecheka, ukirudi mwambie secretary taaluma yako ni ya uchapishaji wa hukumu mengine sio utaalamu wako, akisema kwanini mwambie pesa zinaingiaje account ya mahakama nimecheka [emoji23] ni mahakama gani hiyo ya kino
Nadhan kweny proces za mahakama wanataka iingizwe mahakamani lkn sijui kwnye kuonga wanapindisha kdgSawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
So tufanye mambo isipitie huko mahakamani?? Duhh tanzania hii hovyo kabisa. Basi nitalonga naye kiutu uzima.Nadhan kweny proces za mahakama wanataka iingizwe mahakamani lkn sijui kwnye kuonga wanapindisha kdg
Hii case ilitokea kwa rafik yngu wakataka pesa ipite mahakaman lkn wakatoa kdg mambo yakaenda sawa
Uka amua kumsikiliza mbeba ma fileMkuu naomba nipange vizuri ili niongee with facts maana nimeona watu mtu amefariki na account inafungwa baada ya mda waliopanga wao kulingana na sababu za msingi...sasa maelezo ya yule karani leo yanaleta ukakasi.
Inaweza kutumika kama hela inayotoka hapa ni kwaajili ya matibabu au ada za wanafunzi kwa kutumia Certificate of Emergency.Baada ya mwenye akaunti yake benki kufariki, Akaunti hiyo hufungwa na taarifa zote huhamishiwa kwenye akaunti za mahakama ambapo mchakato wa mirathi hufunguliwa. Kwa kipindi chote cha mchakato wa mirathi, akaunti haiwezi kutumika hadi atakapo patikana msimamizi wa mirathi.
Ngoja nikuulizie kwa hyo kaka kisha nikupe jibu la uhakika walifanyaje maana alikua akiniapa hizi story sema sikuzitilia maanani sanaSo tufanye mambo isipitie huko mahakamani?? Duhh tanzania hii hovyo kabisa. Basi nitalonga naye kiutu uzima.
Fanyeni kikao cha familiaSo tufanye mambo isipitie huko mahakamani?? Duhh tanzania hii hovyo kabisa. Basi nitalonga naye kiutu uzima.
Acha dharauUka amua kumsikiliza mbeba ma file
Mkuu hao wahudumu wa mahakama hapo alitaka uvae shati la mikono mirefu kumbe hukumuelewa?? [emoji12] [emoji12]Kumbe inawezekana.... Leo mhudumu pale mahakamani anasema eti ni lazima ifungwe
Kwani mkuu mwenye akaunti akifariki wewe utaitumiaje?? Kuna ndugu yangu kafariki three months ago na akaunti yake ina fedha za kutosha ila tunajua kabisa kwamba si mkewe wala watoto wanaoweza kui access mpaka msimamizi wa mirathi akamilishe utaratibu wote.Akaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeri
Huwezi kuanzia benk unaenda kwanza na hizo documents mahakamani na baada ya mahakama kukupitisha kama msimamizi wa mirathi ndio wanakupa barua ya utambulisho unaenda nayo bankNadhani inawezekana niliwahi kuona binti nikiwa ktk folen nmb aliekua mbele yangu alikua akipeleka ombi hill akawa anaulizwa kama ameleta muhtasari was kikao cha mirathi kama sikosei, cheti cha kuzaliwa hichi sijui no cha nani, cheti cha kifo hvi ndio navikumbukana. Nadhan ujienda bank watakupa maelekezo kwan watakua wanafanya
Duuuh [emoji134] [emoji134]Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG mwaka huu akaunnti hii ina Tshs 21 Bilion na wahanga wana hadi miaka 20 hawajaenda kuchukua fedha zao. Daaaah halafu BOT wako kimiaaaa hata hawatoi elimu wala majina ya wenye mapesa yao wajitokeze!
Ewaaaaa [emoji23][emoji23]Kuna makarani hakuna kitu kichwani, wanataka kukutengenezea ugumu utoe noti
Ni kweli kabisa, mahakama ndio inaiandikia baru benki husiku .Ndio, una operate kwa niaba yake hadi mtakapoifunga, ila lazima upeleke document za mahakama zilizokupa usimamizi huo.
Sawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
Then?Binafsi nimewahi kusimamia mirathi ya mama yangu. Mwaka jana tu
Mahakama wana utaratibu wa kutoa barua kupeleka benk ambayo inatoa amri kwa bank ifunge account ya marehem na pesa zote zilizopo kwenye hiyo account zinatumwa kwenda account ya mahakama iliyopo BOT. Bank itafunga account na kuiandikia mahakama barua ya majibu inayoonesha kiasi kilichopo wakati account inafungwa
So barua mlipewa ya kufunga account au mliendelea kusimamia?Ni kweli kabisa, mahakama ndio inaiandikia baru benki husiku .
Niliona kwenye mirathi moja nilisimamia
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Well said kiongozi... Hivi kwa uzoefu wako kwa mtu ambaye alikuwa muajiriwa wa serikali (mfuko wa pensheni wa PSSSF) inaweza kuchukua muda gani??Fanyeni kikao cha familia
Teueni wasimamizi wa mirathi
Katika kikao bainisheni hiyo Akaunti na umuhimu wake, nendeni mahakamani mkafungue kesi ya usimamizi wa mirathi wale wasimamizi wakishateuliwa watapewa documents za mahakama
Hizo documents mnaweza kuzitumia kwenda nazo Bank ili wasimamizi waweze kuendelea kuitumia hiyo Akaunti au vinginevyo.
Asante.
Mkuu naomba nipange vizuri ili niongee with facts maana nimeona watu mtu amefariki na account inafungwa baada ya mda waliopanga wao kulingana na sababu za msingi...sasa maelezo ya yule karani leo yanaleta ukakasi.