Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Akaunt hiyo imerudi hewani jana majira ya saa tano na dk 31 Usiku ikiwa verified
"Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. Mwinyi atashinda Zanzibar, CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa. ACT Bara itasinyaa. CUF & NCCR wamefika mwisho. 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM."