Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasoma ili uelewe au ili utoe comment?Huyu Magufuli atakayeshinda kwa 80% ni yupi huyo na ni uchaguzi wa mwaka upi na wa wapi?
Ni uchaguzi wa kule kwa wafu/kuzimu au?
Au atatoka kaburini ili kuja kushinda huku duniani mwaka huu 2025?
Na huyu Bi Tozo a.k.a Chura Kiziwi mtampeleka wapi? Mtamrudisha Kizimkazi Zanzibar kwao?
USIANDIKE KWA HERUFI NDOGO TAFADHALI. KUNA JAMAA ALISEMA CONGO PIA WANAMJUA, HUWA NAPENDA SANA KIONGOZI AMBAE ANAJADILIWA MPAKA NA MABEBERU. NDO ANAFAA KUNIONGOZA MM. OVERRIP shujaa Magufuli