Akaunti ya Daudi Balali iliyotabiri ushindi wa Magufuli 2020, Lissu kuimarisha Upinzani imerudi tena ikiwa Verified

Huyu Magufuli atakayeshinda kwa 80% ni yupi huyo na ni uchaguzi wa mwaka upi na wa wapi?

Ni uchaguzi wa kule kwa wafu/kuzimu au?

Au atatoka kaburini ili kuja kushinda huku duniani mwaka huu 2025?

Na huyu Bi Tozo a.k.a Chura Kiziwi mtampeleka wapi? Mtamrudisha Kizimkazi Zanzibar kwao?
 
Unasoma ili uelewe au ili utoe comment?
 
Back
Top Bottom