Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Shujaa wa kitu gani?RIP shujaa Magufuli
Upande upi?RIP shujaa Magufuli
Tujikumbushe utabili ya Shekh yahayaSijaon aluchotabir kwa uhu mwaka
84% 🐼Ila Magufuli hakushinda kwa above 80%(. Na mimi nilimpa kura yangu)
Mengine yote yametimia.
Na wewe una amini itakuwa ivyo? 😂Tujikumbushe utabili ya Shekh yahaya
"Baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchapa kazi, hata hivyo ataongoza kwa kipindi kifupi, ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi,”… Sheikh Yahaya"