Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
24,386
Reaction score
57,588
Amanii eh wakuu account ya Mange Kimambi haipo tena insta. Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio Mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimaye na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini.



Update: Akaunti yake imerudi hewani, Ila nyie mnaomtumia Mange Kimambi information muwe macho. Shauri yenu siku zenu zinahesabika
 
[emoji87] [emoji86] [emoji15]
Mkuu embu tolea ufafanuzi bandiko lako,m kwa kweli sijaelewa
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Wale waliokuwa wanamtumia information si watajulikama kama mtego ni simu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…