Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
safi kwani mimi nilikwambia ni mtu nisiyejulikana ? ninazo hizo na nyingi tuu hata mtaani ukitaka nitakupeleka tukanywe balimi huko au unadhani naishi maisha ya uoga uoga ahahahaha once upon a time nilikuwa natumia picha na jina langu halisi hapa so no big dealKama ile fb uliyonayo. Tena naijua jina lake na wewe nakufahamu vizuri tu
Ila we jamaa una maneno ya kikatili kbs, na inaonekana waweza kuua kbs daaah , mbn maneno makali hivoUjasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
She is back already, magagula wanaweweseka.Ataibuka tena tu, wiki haitakwisha atakuwa hewani tena.
Mkuu huyo ndo anaweweseka na ki degree chake cha mass communication
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
View attachment 610509
Ila unamwanya mzuri kinoma itabidi tuwasiliane DMsafi kwani mimi nilikwambia ni mtu nisiyejulikana ? ninazo hizo na nyingi tuu hata mtaani ukitaka nitakupeleka tukanywe balimi huko au unadhani naishi maisha ya uoga uoga ahahahaha once upon a time nilikuwa natumia picha na jina langu halisi hapa so no big deal
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mange karudiHiyo Degree umenipa tu sifa siyo yangu ila Elimu yangu ni darasa la saba tu na najishughulisha sana na Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Upanuwaji Miguu ya Watu wenye kiherehere / kuwashwawashwa kama Wewe hivi.
hahahaha farasi wwa kiume wewe tuliaaaIla unamwanya mzuri kinoma itabidi tuwasiliane DM
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Peleka vitisho kwa wapuuzi wenzako serikali gani hii ilio chagua smg na kuteka watu mkiambiwa mnatisha watu this time we got better guns get readyUjasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
Hahaaaaaa umeelewa eeeehahahaha farasi wwa kiume wewe tuliaaa
Mbona a/c real bado ipoZote hizo nimezifungua ni fake kwani zina followers chini ya laki moja!!...mbona mimi sipati account yake halisi??....account yake halisi ni ipi???