Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Kama ile fb uliyonayo. Tena naijua jina lake na wewe nakufahamu vizuri tu
safi kwani mimi nilikwambia ni mtu nisiyejulikana ? ninazo hizo na nyingi tuu hata mtaani ukitaka nitakupeleka tukanywe balimi huko au unadhani naishi maisha ya uoga uoga ahahahaha once upon a time nilikuwa natumia picha na jina langu halisi hapa so no big deal
 
Ujasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
Ila we jamaa una maneno ya kikatili kbs, na inaonekana waweza kuua kbs daaah , mbn maneno makali hivo
 
mange ni type ya wale watoto tulivyokuwa wadogo tunakatazwa na wazazi kucheza nao, coz watakufundisha matusi.
 
Mkuu huyo ndo anaweweseka na ki degree chake cha mass communication

Hiyo Degree umenipa tu sifa siyo yangu ila Elimu yangu ni darasa la saba tu na najishughulisha sana na Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Upanuwaji Miguu ya Watu wenye kiherehere / kuwashwawashwa kama Wewe hivi.
 
Amanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini

View attachment 610509

Unavizia kala ndio waleta upuuzi huku?.....
 
safi kwani mimi nilikwambia ni mtu nisiyejulikana ? ninazo hizo na nyingi tuu hata mtaani ukitaka nitakupeleka tukanywe balimi huko au unadhani naishi maisha ya uoga uoga ahahahaha once upon a time nilikuwa natumia picha na jina langu halisi hapa so no big deal
Ila unamwanya mzuri kinoma itabidi tuwasiliane DM
 
Ok. Account yake imerudi sasa mtoa mada futa uzi wako huu wa uzushi. Mtu anaweza watega watu ili kuona namna gani wanavyobwabwaja. Ninampenda sana mtu anayepigania haki za watu wengine hata kama njia anayoitumia haipendezi sana lakini ni bora huyu kuliko kuwa na madicteta uchwara.
 
Hiyo Degree umenipa tu sifa siyo yangu ila Elimu yangu ni darasa la saba tu na najishughulisha sana na Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Upanuwaji Miguu ya Watu wenye kiherehere / kuwashwawashwa kama Wewe hivi.
Mange karudi
Unalo la kusema?!
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.

Simu ya nokia 8 imefanyaje tena?!
 
Acha achangamshe watu akili kwa kweli.Mpaka IGP anamtengenezea hotuba na anatoka front page!Tz wonders shall never end
 
Ujasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
Peleka vitisho kwa wapuuzi wenzako serikali gani hii ilio chagua smg na kuteka watu mkiambiwa mnatisha watu this time we got better guns get ready
 
Zote hizo nimezifungua ni fake kwani zina followers chini ya laki moja!!...mbona mimi sipati account yake halisi??....account yake halisi ni ipi???
Mbona a/c real bado ipo
74003772f9b4126f1ac83ffadd698404.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom