Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Bwege kweli kwani mange kampuni au kiwanda
 
naona umeishikia kidedea sana dada yangu, si ile simu alienda akadilisha akachukua anayotaka yeye, ile aliyopewa hakuwahi itumia, mbona kurudi ni rahisi sana, naona accounts kibao bado zinapumua,
Bora umwambie huyo
 
Ameanza kuwa gumzo huyu dada,kila wiki naona Uzi unaomzungumzia
 
Mange karudi
Unalo la kusema?!

Mwenzako muda wote nilikuwa natania tu. Mange Kimambi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeumerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiwanafiki wote kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahivi akili zenu mbovu kabisa eti mlijua GENTAMYCINE simpendi Mange Kimambi na nimefurahia Yeye kutowepo hewani?

Nimefurahi sana kujua Kipenzi changu Mwanadada, Mpinzani Mghaibuni Mange Kimambi amerudi tena hewani kwani nilikosa kabisa amani na furaha na nilikuwa najifanya ' Kumkandia ' vile ili tu apate hasira na airejeshe hiyo ' akaunti ' na kweli ameirudisha na muda si punde pia nimetoka kuchati nae na kaniambia She's doing fine na kuna bonge la ' Breaking News ' anakuja nayo hivi punde.

Haya sasa Wanafiki wote na mnaomchukia Mange Kimambi upesi sana ' ondokeni ' humu na mtuache Sisi wenye mapenzi mema na uchungu nae. Mange Kimambi KariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuusanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaDadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakudadadeki Wanafiki popote pole mlipo!!!!!!!
 
Aisee ishia hapohapo acha kabisa kuipa sura mbaya serikali, serikali haihusiki na wala haitahusika na ujinga wa kuwadhuru raia wake tafadhari sana naomba uishie hapohapo serikali hii haipo hivyo unavyofikiria wewe maana naona unataka kuihusisha serikali na tukio lililomtokea huyo unaemuita kiherehere wa sheria tafadhari sana ndugu kuwa na staha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…