Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umwambie huyonaona umeishikia kidedea sana dada yangu, si ile simu alienda akadilisha akachukua anayotaka yeye, ile aliyopewa hakuwahi itumia, mbona kurudi ni rahisi sana, naona accounts kibao bado zinapumua,
hahaha yupo hewani wewe ndo unaakili ndogo atiiNi mtu mdogo sana kupambana Government
OK gayPeleka vitisho kwa wapuuzi wenzako serikali gani hii ilio chagua smg na kuteka watu mkiambiwa mnatisha watu this time we got better guns get ready
mimi nikisearch sipati kabisa hii!!.....hebu ingia insta kwa kutumia web halafu nitumie link ya account yake!Mbona a/c real bado ipo![]()
hahaha achana na mie wewe mwanamume nipishe huyu unayemuongelea wala simfahamuHahaaaaaa umeelewa eeee
yupo hata mwanzo alikuwa anaonekana ila post hazikuwepo hata mojamimi nisearch sipati kabisa hii!!
Sawa kama umfahamu ila unamwanya mzuri mpare wewehahaha achana na mie wewe mwanamume nipishe huyu unayemuongelea wala simfahamu
hayaSawa kama umfahamu ila unamwanya mzuri mpare wewe
haya
Mange karudi
Unalo la kusema?!
Aisee ishia hapohapo acha kabisa kuipa sura mbaya serikali, serikali haihusiki na wala haitahusika na ujinga wa kuwadhuru raia wake tafadhari sana naomba uishie hapohapo serikali hii haipo hivyo unavyofikiria wewe maana naona unataka kuihusisha serikali na tukio lililomtokea huyo unaemuita kiherehere wa sheria tafadhari sana ndugu kuwa na stahaUjasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
Gay ni wewe na bashite ....OK gay