Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wsshirikina hamuwezi kuiona account yake.Zote hizo nimezifungua ni fake kwani zina followers chini ya laki moja!!...mbona mimi sipati account yake halisi??....account yake halisi ni ipi???
Wewe ike iphone aliyopewa alienda akaibadilisha kwenye kampuni la simu akachukua nyingine upooooo titiiThis time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
watu wamebwabwaja weeeeh, ila JF kweli ni free stress zone, kuna mambo ya kukasirisha, kuudhi na kuburudishaBora umwambie huyo
Hua anafuta dmHao walioidukua kwa sasa wanacheza na DM yake tu,
Tutegemee mengi zaidi ya haya
Ulivyoelewa wewe, Sawa, Mimi pia namaana tofauti na ufikiriavyoAisee ishia hapohapo acha kabisa kuipa sura mbaya serikali, serikali haihusiki na wala haitahusika na ujinga wa kuwadhuru raia wake tafadhari sana naomba uishie hapohapo serikali hii haipo hivyo unavyofikiria wewe maana naona unataka kuihusisha serikali na tukio lililomtokea huyo unaemuita kiherehere wa sheria tafadhari sana ndugu kuwa na staha
Manual protection of the account, au? Kama kweli atajinasibu kivingine, Aigipiiyy ndo alisema wanafanyia kazi, lkn kazi kama ni ku_Spam account, haitoshi, ni kitu kidogo.sidhani kama imefutwa nahisi atakuwa kafanya mwenyewe tu, baadae zinarudishwa zote, nilidhani jina hasa la mange kimambi halipo, natizama hapa naona hakuna post ungesema hata jina lake halipo hapo ningesema sawa, kwani nakumbuka alishawahi fanya hivi na baadae akarudisha
NINAMASHAKA NA JINSIA YAKOMwenzako muda wote nilikuwa natania tu. Mange Kimambi oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeumerudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiwanafiki wote kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahivi akili zenu mbovu kabisa eti mlijua GENTAMYCINE simpendi Mange Kimambi na nimefurahia Yeye kutowepo hewani?
Nimefurahi sana kujua Kipenzi changu Mwanadada, Mpinzani Mghaibuni Mange Kimambi amerudi tena hewani kwani nilikosa kabisa amani na furaha na nilikuwa najifanya ' Kumkandia ' vile ili tu apate hasira na airejeshe hiyo ' akaunti ' na kweli ameirudisha na muda si punde pia nimetoka kuchati nae na kaniambia She's doing fine na kuna bonge la ' Breaking News ' anakuja nayo hivi punde.
Haya sasa Wanafiki wote na mnaomchukia Mange Kimambi upesi sana ' ondokeni ' humu na mtuache Sisi wenye mapenzi mema na uchungu nae. Mange Kimambi KariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuusanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaDadaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaakudadadeki Wanafiki popote pole mlipo!!!!!!!