Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Yaani wamempata kirahisiii,wangemkosa hapo wangemtumia mzungu wakampa ma hela akamtongoza basi anapatikana very simple.
 
Yes. Inaweza kuwa kweli maana ameanza kubadili namba za simu za whatups. Lakini kufunga na kufungua account kwenye mitandao ya kijamii ni raisi mno. watu wana account zaidi ya moja leo anafungua hii kesho ile. the old is gone the new is come.
 
kweli ile iPhone it's either hajaijulia kuitumia vizuri au c salama ila Yule ni akili kubwa wanasubiri kalala ndo wanamuotea wameshajaribu sana kumuhuck wakashindwa uzuri huwa hadeal na maIT anadeal na macontroler wa IG ngoja ashtuke usingizini kama hajairudisha
 
Ile alosema ametumiwa na anonymous fan sijui anamkubaligi, aendeleze mapambano simu inahifadhi sana ina gb kubwa.
Ha ha haaa, shikamoo serikali
hahaha aliingia mtegoni mwenyewe tulimkanya lakini hakisikia naona blank tu walianza kumhak juzi jana akapotea hewani masaa kisha leo holaaaaa kesho tutasikia kakatwa masikio yote mawili hahahaha
 
sidhani kama imefutwa nahisi atakuwa kafanya mwenyewe tu, baadae zinarudishwa zote, nilidhani jina hasa la mange kimambi halipo, natizama hapa naona hakuna post ungesema hata jina lake halipo hapo ningesema sawa, kwani nakumbuka alishawahi fanya hivi na baadae akarudisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…