Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Problem ya hii logic ni kwamba umeamua kuchanganya ujasiri na kuwa na akili au kuwa na akili ya ukifanyacho na kuwa na kuwa na akili kwa ukituacho kufanya kazi.Kuwa na kili ktk kazi unayofanya hakukufanyi kuwa mtaalamu wa kila kifaa unachotumia. Km vile unataka sema kila mwenye gari lazima awe fundi wa kiwango cha juu, au kila rubani basi ajue kutengeneza kila kitu ktk ndege?
 
Of coz atafungua nyingine,ila kumbuka alikuwa na followers million na ushee,pia wanaomtumia taarifa wataogopa maana kumbe anaweza kuhackiwa.
taarifa atazipata tu maana hata hao wanaomtumia wanatumia fake IDs. kuhusu followers siyo issue atakaefungua page yake atamfollow kama anataka
 
This time harudi na akirudi arudi kwa device nyingine,akitumia ile iphone 8 alopewa zawadi ni kazi bure.Nimeamini Mange hana akili ya kufikiria kabisa.
hivi akisema kazifuta mwenyewe na akarudisha zile zile utajisikiaje victwa
 
kweli ile iPhone it's either hajaijulia kuitumia vizuri au c salama ila Yule ni akili kubwa wanasubiri kalala ndo wanamuotea wameshajaribu sana kumuhuck wakashindwa uzuri huwa hadeal na maIT anadeal na macontroler wa IG ngoja ashtuke usingizini kama hajairudisha

hana level hizo .....hahahahhaa
 
Mbona iyo iphone alisema kabisa kaenda kuibasili apple store na kapewa nyingine. Alioletewa kaiacha dukani
Alikuwa anawapa moyo tu wale wa hide my name,msimwamini kwa kila kitu.
 
LAKINI MBONA ALISEMA ALIENDA KUBADLISHA RANGI KUAVOID HABARI HII??? yaani kama alikua tu anajishaua uwezo wa kubadili hana... hahahhahahahah famba sana
Anazungumza tu huyo naona alikuwa hampendi mange maana hata simu anatuambia Nokia 8 badala ya iphone. I tell u atarud maana akaunti insta wanaweza mrudishia
 
sasa kwani si anafungua nyingine tu? hahaha panya ukimzuia hapa anatoboa tundu lingine anaendea kwingine

Jiulize tu hiyo mbinu ya Kwanza wamewezaje kuitumia halafu washindwe kutumia nyingine kama ' akiibuka ' tena? Tena kwa ushauri wangu tu Kwake ni vyema kwa sasa ' akauchuna ' kwa Kipindi kwani ' ogopa ' sana ' Kolabo ' ya Mafia na System huwa haikukosi Mkuu hata ujifanye ' mjanja ' vipi au una informers wa aina gani. Mnadhani Watu wanaenda kufunzwa Israeli, Sweden, Bulgaria, Uingereza, China, Marekani, South Africa na Korea Kusini ili waje kupoteza muda na rasilimali zilizotumika Wao kuwapeleka huko?
 
Alishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
We Dada unajiekti unajua mambo ya kimafia kumbe mavi kunuka tu
 
Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.
Wajiandae na nini? Kutekwa na kuuwawa? Umemsikiliza Wassira?
 
Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
 
Of coz atafungua nyingine,ila kumbuka alikuwa na followers million na ushee,pia wanaomtumia taarifa wataogopa maana kumbe anaweza kuhackiwa.

Pole dada uliumizwa sana. Kuwa na follwers mil 2 si kazi kubwa kwake so she can keep moving faster than. Serikali ya Marekani tena Jeshi lake lilisha wahi kupata tatizo kama hili sembuse huyu mswahili wetu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom