Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiojulikanana nani?
Hana lolote huyu dadaMkuu umefanya nianze kukuogopa yaonekana wewe ni mtu asiyejulikana
Shida naona sasa mnakataa ukweli kwa vile dkk chache mmeshaanza kuona kazi bure mliofanya. mange akipost link hapa ya profile mpya dkk chache sana followers watakuwa wamekuja hewani.Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
We Dada unajiekti unajua mambo ya kimafia kumbe mavi kunuka tu
Kilichokufurahisha ni nini hasa , au labda faida utakayopata ni ipi ?Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
jipeni moyo... yaani vile anapewa umbea mnamuona mataawii... yule hela ya kula tu mbilinge .. simu inamshinda kununua anaishia kupitisha bakuliYule c mwenzako usimuone na udaku wake
Akiirudisha hiyo mitusi yake sasa[emoji23] [emoji23]kweli ile iPhone it's either hajaijulia kuitumia vizuri au c salama ila Yule ni akili kubwa wanasubiri kalala ndo wanamuotea wameshajaribu sana kumuhuck wakashindwa uzuri huwa hadeal na maIT anadeal na macontroler wa IG ngoja ashtuke usingizini kama hajairudisha
Mkuu umejilipua hapo leo lazima uyaoge matusi ya huyu MafiaWe Dada unajiekti unajua mambo ya kimafia kumbe mavi kunuka tu
Actually inasoma hivi.... loading......Jipe moyo.Nani kaideactivate ?hapo ndo haipo tena.
Na huyu naye mnataka kumuua !Sema usemavyo na semeni mtakavyo ila 40 zake zimeshakaribia / ameshajaa katika 18 na ndipo mtajua siku zote ' Kolabo ' za Kimafia na System hazijawahi kushindwa lolote / chochote na kumuacha Mtu salama duniani kote. Ogopa sana pale ambapo unajitutumua kumshambulia na kumtusi Mtu kwa nguvu zako zote halafu Yeye kanyamaza tu ' Kishindo ' chake baada ya hapo huwa ni ' Kikali ' na ' deadly ' too.
***** shikamoo popomaAlishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
Kwenye mtandao, discovery ya member ni organic. link ita trend kwa marafiki wa marafiki instantly.Atafungua nyingi,tatizo wale waliokuwa wanampa informations wataogopa.
Sio Nokia, alipelekewa iPhone na mtu asiejulikana akaipokea na kuanza kuitumia,Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Mkuu umefanya nianze kukuogopa yaonekana wewe ni mtu asiyejulikana