Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Mleta mada wewe ni kilaza haswa, Account imekuwa deactivated for a while halafu unasema imefutwa rasmi . aiseeeh nchi hii ina vilaza
Jipe moyo.Nani kaideactivate ?hapo ndo haipo tena.
 
Jamanii eh wakuu account ya mange kimambi haipo tena insta... Ishara zilianza tokea juzi watu walivoanza kusema huyu sio mange baada ya vitu vya ajabu kutokea kwenye ile account hatimae na mchana huu account yake haipo tena instagram sijui dada wa watu atakuwa kapatwa na nini, uthibitisho huu chini
1b19ac5694301fccae19f87df773e629.jpg
 
Naona followers wake wanalia hapa eti atafungua nyingine. Tatizo sio kufungua nyingine,tatizo ni kupata followers milion 2 kwa muda mfupi. Maana wale followers wengi aliwavuta kwa kumtukana lowassa kisha,mafufuli,msiba wa ivan,mimba za zari etc
Shida naona sasa mnakataa ukweli kwa vile dkk chache mmeshaanza kuona kazi bure mliofanya. mange akipost link hapa ya profile mpya dkk chache sana followers watakuwa wamekuja hewani.
 
We Dada unajiekti unajua mambo ya kimafia kumbe mavi kunuka tu

Sema usemavyo na semeni mtakavyo ila 40 zake zimeshakaribia / ameshajaa katika 18 na ndipo mtajua siku zote ' Kolabo ' za Kimafia na System hazijawahi kushindwa lolote / chochote na kumuacha Mtu salama duniani kote. Ogopa sana pale ambapo unajitutumua kumshambulia na kumtusi Mtu kwa nguvu zako zote halafu Yeye kanyamaza tu ' Kishindo ' chake baada ya hapo huwa ni ' Kikali ' na ' deadly ' too.
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Kilichokufurahisha ni nini hasa , au labda faida utakayopata ni ipi ?
 
kweli ile iPhone it's either hajaijulia kuitumia vizuri au c salama ila Yule ni akili kubwa wanasubiri kalala ndo wanamuotea wameshajaribu sana kumuhuck wakashindwa uzuri huwa hadeal na maIT anadeal na macontroler wa IG ngoja ashtuke usingizini kama hajairudisha
Akiirudisha hiyo mitusi yake sasa[emoji23] [emoji23]
 
Sema usemavyo na semeni mtakavyo ila 40 zake zimeshakaribia / ameshajaa katika 18 na ndipo mtajua siku zote ' Kolabo ' za Kimafia na System hazijawahi kushindwa lolote / chochote na kumuacha Mtu salama duniani kote. Ogopa sana pale ambapo unajitutumua kumshambulia na kumtusi Mtu kwa nguvu zako zote halafu Yeye kanyamaza tu ' Kishindo ' chake baada ya hapo huwa ni ' Kikali ' na ' deadly ' too.
Na huyu naye mnataka kumuua !
 
Alishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
***** shikamoo popoma
 
Kufuta account ya mtu ni kazi sana hasa wazungu wakijua ni account inayoikosoa serikali yenu...wataipa ushirikiano wakutosha
 
Hahahahahah huwezi cheza na Serikali ina mkono mrefu,bye bye Mange Kimambi.Ile simu nokia 8 imekuponza.Nimeamini bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Sio Nokia, alipelekewa iPhone na mtu asiejulikana akaipokea na kuanza kuitumia,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu umefanya nianze kukuogopa yaonekana wewe ni mtu asiyejulikana

Hizo ni ' Hisia ' zako tu Mkuu ila Mimi ni Mtu wa kawaida sana na tena ' Kapuku ' fulani hivyo hata hupashwi kuwa na mashaka nami. Sawa Popoma?
 
nilikuwa siamini....leo nimeamini....account yake imekwenda na maji.

my be kaamua kui-deactivate kwa mda...maana hilo nalo linawezekana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom