Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Serikali gani mkuu??? Hihii niijuayo mm au??? Mmeshindwa kutengezeza tooth pick ndo mtaweza mambo ya IT???
Nyie endeleeni na umalaya na ngoma ndicho mnachoweza na udikteta....haya tuwaachie wazungu mkuu.
Ujasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
 
mtoa post ni muongo na mzandiki unaemtakia mabaya mange kimambi always, mwenyewe alisema simu kanunua kwenye store ya iphone wewe unatadanganya kaletewa zawadi. nimekudharau sana tena sana JamiiForums ifute uzi huu na mtoa post apewe ban kwakuandika habari za kitapeli
 
Tokea najiunga humu JF nimeshaambiwa sana hili neno kuwa ' najifanya najua ' hasa na wale ' Critics ' wangu na ukweli ni kwamba ninajua hadi najishangaa kwanini nyie wengine hamjui.
[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Maswali ya ' Kichooni Chooni ' huwa siyapendi / siyafagilii tafadhali sawa?
Yashakushuka, janaume zima umeingopaaa mara mafia mara serikali, haya sasa karudi, huo mwisho ulioujua wewe ni upi?

Kwanza serikali serious haiwezi poteza raslimali kwa mtu kama Mange wakat yapo mambo kibao ya msingi ya kufanya ni kwa Low minds such urs and insane people can bother their time kumsaka Mange kwa Vijiposti vile.
 
mbona akaunti yake naiona au macho yangu??
IMG_20171016_152529.jpg
 
Ujasiri wa kutukana serikali hadharani huna, endelea kujificha Kwa kutumia ID fake, na ukihitajika ni rahisi mno kwa wewe kupatikana.
Jitokeze hadharani kuitukana serikali badala ya kuikosoa kwa Staha upate cha mtema Kuni kilichomnyoa kanga manyoya.
Muulize yule jamaa yenu mahili wa semi na Nahau za kisheria, atakwambia Nini maana ya serikali.
Kimyaaaaaa!
Wee endeleza uzinzi tu ...huna jipya.
Watu wote siyo wapumbafu kama wewe......
 
Tunasubili tamko la Padre Slaa na Josephine.
Inaonekana wewe ndio wale "Dada Mange please hide my I'd". [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom