Imeelezwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi aliyepita, George Simbachawene, hausiki na wala hana akaunti yoyote katika Mtandao wa kijamii wa X (Twitter), hivyo Umma unapaswa kupuuza akaunti hiyo.
Wananchi na Umma kwa ujumla umetakiwa kupuuza maoni au taarifa zozote zile zinazochapishwa kwenye akaunti hiyo feki pamoja na kwamba ina tiki ya bluu ( iko ‘verified’), ambayo inaonesha kuwa imefunguliwa mwezi huu wa August mwaka 2026.
Wananchi na Umma kwa ujumla wametakiwa kupuuza ujumbe, maoni au taarifa zinazotolewa na akaunti hiyo na kuepuka kusambaza kwa kuwa hazijatolewa na George Simbachawene mwenyewe.