Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

Akaunti ya Twitter ya Tovuti ya Waziri Mkuu wa India yadukuliwa

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency)

Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe

Uongozi wa Twitter umesema kuwa hatua za kuongeza ulinzi wa akaunti hiyo tayari zimechukuliwa

Akaunti hiyo ya Waziri Mkuu, Narendra Modi ina wafuasi zaidi ya milioni 2.5

=======

Twitter confirmed on Thursday that an account of Indian Prime Minister Narendra Modi's personal website was hacked with a series of tweets asking its followers to donate to a relief fund through cryptocurrency.

The incident comes after several Twitter accounts of prominent personalities were hacked in July.

Twitter said it was aware of the activity with Modi's website account and had taken steps to secure it.

"We are actively investigating the situation. At this time, we are not aware of additional accounts being impacted," a Twitter spokeswoman said in an emailed statement.

Modi's office did not immediately respond to a request for comment on the tweets posted on the account @narendramodi_in.

The account, with more than 2.5 million followers, is the official Twitter handle for Modi's personal website and the Narendra Modi mobile application.

Modi's personal Twitter account, which was unaffected by this incident, has more than 61 million followers.

The tweets, which have since been taken down, asked followers to donate to the Prime Minister's National Relief Fund through cryptocurrency.

In July, hackers accessed Twitter's internal systems to hijack some of the platform's top voices including United States presidential candidate Joe Biden, former US President Barack Obama and billionaire Elon Musk, and used them to solicit digital currency.
1599106614477.jpeg

SOURCE: REUTERS NEWS AGENCY
 
kwa sisi Mafundi simu hata kutoa google account ya mtu kwenye simu ambayo hajulikani mtumiaji alikua ni nani solutions asilimia kubwa tunawategemea Wahindi ndio watuoneshe chocho za kupita mpaka google account inachomoka... chezea Muhindi wewe ?
 
Ndani ya mwaka twitter ishashambuliwa mara mbili. Mara ya kwanza acc za Bill Gates, Elon Musk leo waziri mkuu wa India.
 
kwa sisi Mafundi simu hata kutoa google account ya mtu kwenye simu ambayo hajulikani mtumiaji alikua ni nani solutions asilimia kubwa tunawategemea Wahindi ndio watuoneshe chocho za kupita mpaka google account inachomoka... chezea Muhindi wewe ?
Naomba niunganishe na ma IT wa kihindi niweze kuitrack simu yangu imeibiwa.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
hio tulia hivo hivo mkuu maana tecno na infinix ni simu zinazobadilishwa imei ndani ya sekunde 30 kwa hio kuipata sio rahisi labda aliyeiiba awe fala kwa kiwango cha rami.

iPhone ina uwezo wa kupatikana kwa 90%
Oppo kwa 80%
MI kwa 70
Vivo kwa 50%
Samsung kwa 20%

ila tecno na infinix mkuu ????
 
Vipi huawe8
 
katika huawei 10 kuna huawei kama 3 hv uhakika wa kupatikana upo maana zina security imara
 
hio tulia hivo hivo mkuu maana tecno na infinix ni simu zinazobadilishwa imei ndani ya sekunde 30 kwa hio kuipata sio rahisi labda aliyeiiba awe fala kwa kiwango cha rami.

iPhone ina uwezo wa kupatikana kwa 90%
Oppo kwa 80%
MI kwa 70
Vivo kwa 50%
Samsung kwa 20%

ila tecno na infinix mkuu ????
Dah ngoja niwe mpole maana police wanataka kunipiga 150k
 
Back
Top Bottom