BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Simba hatukanwi"Umenunaje sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba hatukanwi"Umenunaje sasa?
Dogo mpole sana..Ila naona raia hawaelewi hilo..Wanamporomoshea mitusi tuNlitaka kushangaa pia, Belle nine sio wa hivo
Mashabiki wengine wasengenyaji sana..Dogo ameshatoa maelezo ila mijitu haielewi..Kweli mapenzi ni uchizi
Kwanini ni account zao tuu kila Siku zinahakiwa?
the most underrated, belle 9, linex , jux hawa jamaa wanajua saana , ila basi tu hawana mafanikio ya kutoshaBelle 9 si wa hivo hanaga shida na mtu.
acha kuonea watu wa pwani ww, kwani mange k ni mtu wa pwani ? kila mtu anatabia yakeInsta imekaa kimajungu sana kwa kuwa watumiaji wake wengi ni type ya zile za pwani zenye ujuha ndani yake na huziambii kitu...MTU kapata tecno kwa USAID unadhani ataificha tabia yake hata kwa mbindeee. Hahaaaaaaa ingia kwenye bifu na mswazi wa pwani afu ujidai unajua fact kama zitakuokoa maana kwake ugomvi ni shibe na source of pride...lazma unyooshwe
'we we nakutaka wewe,nakutaka wewe nakutamaaniiii' moja ya mstari kwenye wimbo wa Belle9,Siukumbuk JinaUmenunaje sasa?
Mhhhhhh hakuna wimbo wa Belle9 nisioujua ila huu mstari mbona kama sijawahi kuusikia?'we we nakutaka wewe,nakutaka wewe nakutamaaniiii' moja ya mstari kwenye wimbo wa Belle9,Siukumbuk Jina