one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Unajuwa watu wanadhani CCM ni chama tu cha siasa, hawa walijiwekea mizizi katika kila maisha yetu tunayoishi kwa njia moja au nyingine utawahitaji tu. Sasa mtu kuja kudhani unaweza kuangusha nchi ukiwa kwenye keyboard ni ujinga sana. CCM wamepandakiza majasusi mpaka kwenye majeshi kila sehemu. Hapa kinachofuata ni wale wapambe waliokuwa wanatuma taarifa sasa utasikia wengi wanajiwahi natekwa.View attachment 3484901
Kwahiyo saivi jamaa atakua amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tuu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
Polepole ni sehemu ya kufukua makaburi yule captain fake ndio kawaingiza choo cha kike. Kuna kitu kimoja muhimu sana tena sana, ukiona hakuna kauli yoyote kutoka kwenye embassy kuhatarisha wananchi wao kuja Tz na kupunguza watumishi basi juwa inteligence wanajuwa hakuna cha maandamano wala nini ila ukisikia wanatoa tahadhari basi juwa kuna kitu kinaweza kutokea.