one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Unajuwa watu wanadhani CCM ni chama tu cha siasa, hawa walijiwekea mizizi katika kila maisha yetu tunayoishi kwa njia moja au nyingine utawahitaji tu. Sasa mtu kuja kudhani unaweza kuangusha nchi ukiwa kwenye keyboard ni ujinga sana. CCM wamepandakiza majasusi mpaka kwenye majeshi kila sehemu. Hapa kinachofuata ni wale wapambe waliokuwa wanatuma taarifa sasa utasikia wengi wanajiwahi natekwa.View attachment 3484901
Kwahiyo saivi jamaa atakua amezungukwa na watu 6 mmoja kakaa kwenye kiti kama nilivyoota jana huku yeye kapiga magoti anatoa password na email watu wanafuta tuu account zake zote, halafu baaada ya hapo sijui hatua gani itafuata
hata mimi naliona hili.Kwa nchi hii mkuu hakuna cha ku pay price atamaliza muda wake atakuja mwanamtandao mwingine atatubagaza na maisha yataendelea kama kawaida
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumuaTaarifa za hivi punde akaunt ya facebook ya aliyekuwa balozi wa tanzania nchini CUBA tayari imeondolewa rasmi na watekaji 😭😭 balozi ameona isiwe tabu kawapa password zake.
Mungu mlinde huko alipo 😭😭😭
Samia anataka kusifiwa na kuabudiwa tu, tofauti na hapo anaona unastahili kutekwa, kuteswa, kupotezwa au kuuwawa.Taarifa za hivi punde akaunt ya facebook ya aliyekuwa balozi wa tanzania nchini CUBA tayari imeondolewa rasmi na watekaji 😭😭 balozi ameona isiwe tabu kawapa password zake.
Mungu mlinde huko alipo 😭😭😭
Labda sio mimi siwezi kua kwenye hio 90%90% ya members wa hapa JF wakitekwa, kuteswa watatoa password zao za Facebook, JF, X, what'sapp, youtube, Tiktok.
Mwafwele amerudishe HP akiwa anapumuaIla nawaambia ipo siku tutasikia chakutushangaza ,take it
90% wa member humu ni watu wenye fikra huru. Kwahiyo maoni yao kwa asilimia kubwa yatakuwa yanaendana na hali halisi, ukweli.Labda sio mimi siwezi kua kwenye hio 90%
Umesema ukweli kabisa hujaongopa hata kidogo90% wa member humu ni watu wenye fikra huru. Kwahiyo maoni yao kwa asilimia kubwa yatakuwa yanaendana na hali halisi, ukweli.
Hivyo kuwachukiza wasiopenda kusikia ukweli wakiyasoma.