Akayabagu ni hatari, vumbi la Congo linasubiri

ukiona mwanaume anasifia vitu vinavyosemekena kuongeza nguvu za kiume basi ukipima akili yake haina afya na anamsongo wa mawazo vibaya mno.. wajinga kama mleta mada wanapoteza pesa nyingi sana wakati lishe ndio tiba ya kwanza......


mliooambiwa nyeto ni kipindi cha mpito nyie mkaifanya kama chakula leo unakimbilia matangawizi machafu
 
Vijana wapumbavu wa kitanzania wamekaaa wanaomyeshana madawa ya nguvu za kiume, wengine huko duniani vijana wanaoneshana viwanda vingap na utajiri mkubwa wanaomiliki
 
Kula diko vizuri achana na hayo. Sana sana uwe mchemsho
 
Vidude vitaoza shauri yenu endeleeni kutumia🙂
 
Tabu yote hii kisa sex. Mbona mna mambo mengi tu ya kufanya vijana nje ya huu ujinga??
 
Hatari hiyo kitu maeneo ya Kigoma wanatumia sana hiyo kujibust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…