Akhsanteni sana Waandaji wa Ndondo Cup kwani nimeuza sana Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na Gongo

Kwakuwa ujinga ni desturi ya wapumbavu sitakushangaa wewe wenye mashindano wamekamilisha taratibu zote za kiusalama ndio maana unaona kuna vyombo vya dora pale uwanjani unaposema kama shukurani kwa waandaaji hilo liko nje yao kwakuwa walishaomba ulinzi na huko hapo uwanjani.

Na kwa muono wangu ujui mchezo wa mpira wewe ni mnafiki kama sio kutumwa kwa hili wapenzi wa mpira hivyo ulivyosema wanajua ni kawaida nenda uwanja wa taifa na viwanja vyote vya CCM tanzania kuna maeneo yanajulikana hapa wanakaa watumiaji na wauzaji wa bangi.

Huu ni ukosaji wa Adabu, eshimu kazi za watu itaeshimiwa yako pia kuna watu wamehusika kwenye tukio hili wana hadhi na sifa zaidi ya baba na mama yako.

Kama mliweza kwa kumfitini Dr Mwaka mkaweza huku parefu sana mjipange kweli kweli kwani watu wamejiandaa kitaifa sasa wewe endeleza majungu ambayo si mtaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sitashangaa mods wakikurupuka na kukupiga ban bila kuelewa kilichomo kwenye mada yako

Huwa napenda sana / mno Watu Majiniasi wa Kuzaliwa na Kutukuka kama Wewe na baadhi wachache waliolewa lengo / kusudio hasa na ni ujumbe gani nimeuwasilisha. Tanzania ingekuwa na Watu kama Wewe ambao ni wepesi kumwelewa GENTAMYCINE na maandiko yako basi nadhani leo nchi ingekuwa mbali sana hasa Kimaendeleo ila bahati mbaya wenye IQ zetu ( Mimi, Wewe na wale Wengine ) hatupo wengi.

Anyways all in all jamani Ndondo Cup hii nimeuza sana Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na Gongo na nimepata Faida ambayo nadhani hata Wafanyakazi wa Serikalini hata kwa mwaka mzima hawawezi kuipata hiyo Hela. Akhsanteni pia na Polisi mliokuwa zamu pale Kinesi kwa kuweza kuwa wapole huku mkiniangalia tu MWANAMUME nikizunguka huku na kule kuwapelekea Wateja wangu wa Kutukuka hizo bidhaa huku nyie mkinikenenulia tu manjino / meno yenu.

Ama hakika hii ndiyo Tanzania tunayoitaka.

Shikamoo Tanzania!
 
Wanasiasa walikuwa wamelifanya lile ndo chimbo la kuuzia sura.

Next time half time itumike kuhoji wachambuzi WA soka siyo hao jamaa wengine wala siyo watu WA soka.
 
Ndondoo zmekwisha ,ko Biashara hakuna tena ...usawa huu utaanza kukaba usipende vitu rahic rahic pambana na hali yako utaozea segerea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona ngada mkuu,vp hiyo ama umei skip kwa makusudi.
 
Huyu Genta ni mbea kama demu la kiswahili,kazi yake kuokota umbea na kuleta humu,ushilawadu una muwasha mda wote!wahuni tunaishi maisha yetu
 
Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…