Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sitashangaa mods wakikurupuka na kukupiga ban bila kuelewa kilichomo kwenye mada yako
bila kusahau Mgulani
Alivyowanyima kutumia ule uwanja wa bandari alifikiri mashindano hayataisha.. Muda mwingine nafikiri binadamu tatizo kubwa ni kufikiri sahihi..DAB alikuwepo siku ya fainali
Ndondoo zmekwisha ,ko Biashara hakuna tena ...usawa huu utaanza kukaba usipende vitu rahic rahic pambana na hali yako utaozea segereaNipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza mule ndani Kinesi Stadium Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na pombe ya Gongo hali iliyonifanya nichukie sana Mashindano hayo kuisha kwani sitokuwa na Soko tena hadi msimu ujao.
Nitoe tu ushauri kwa Waandaji wote wa Ndondo Cup kuwa kama mtaweza basi muwe mnayaandaa haya mashindano hata mara mbili ndani ya mwaka kutokana na kwamba Sisi wengine huwa tunapata Ajira za Uhakika za Kuuza Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na Gongo katika Viwanja vyenu ila hasa hasa Biashara yangu hii hunoga mechi zinapokuwa Uwanja wa Kinesi kwakuwa ni karibu sana na kule ambako nimekuwa nimeweka stock yangu ya Kutukuka ya hivyo vitu.
Mwisho niwaombe tu Wadau humu kama mnajua Kiwanja kingine chochote ambacho naweza kwa sasa kwenda kuuza hizo bidhaa zangu adimu na muhimu hasa hapa Jijini Dar es Salaam tafadhalini hebu niambieni ni wapi ili nijipange na mchana niweze kwenda kwani hii Biashara inalipa kuliko hata Kusafirisha mchanga wa Makinikia.
Nawasilisha.
Sijaona ngada mkuu,vp hiyo ama umei skip kwa makusudi.Nipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza mule ndani Kinesi Stadium Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na pombe ya Gongo hali iliyonifanya nichukie sana Mashindano hayo kuisha kwani sitokuwa na Soko tena hadi msimu ujao.
Nitoe tu ushauri kwa Waandaji wote wa Ndondo Cup kuwa kama mtaweza basi muwe mnayaandaa haya mashindano hata mara mbili ndani ya mwaka kutokana na kwamba Sisi wengine huwa tunapata Ajira za Uhakika za Kuuza Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na Gongo katika Viwanja vyenu ila hasa hasa Biashara yangu hii hunoga mechi zinapokuwa Uwanja wa Kinesi kwakuwa ni karibu sana na kule ambako nimekuwa nimeweka stock yangu ya Kutukuka ya hivyo vitu.
Mwisho niwaombe tu Wadau humu kama mnajua Kiwanja kingine chochote ambacho naweza kwa sasa kwenda kuuza hizo bidhaa zangu adimu na muhimu hasa hapa Jijini Dar es Salaam tafadhalini hebu niambieni ni wapi ili nijipange na mchana niweze kwenda kwani hii Biashara inalipa kuliko hata Kusafirisha mchanga wa Makinikia.
Nawasilisha.
Sijaona ngada mkuu,vp hiyo ama umei skip kwa makusudi.
Ujinga mtupuNipende tu kuchukua fursa hii adhimu kuweza kuwashukuru sana na mno Waandaji wote wa Mashindano ya Mpira wa Kihuni / Kisela wa Ndondo Cup kwa kuweza kunifanya niweze kupata faida Kubwa ya Kuuza mule ndani Kinesi Stadium Bangi, Kuberi, Simu za Wizi na pombe ya Gongo hali iliyonifanya nichukie sana Mashindano hayo kuisha kwani sitokuwa na Soko tena hadi msimu ujao.