FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Wanamichezo nina hoja Kwa jicho la kiufundi.
Ningekuwa nina access ya kukaa na kuongea na kocha wa national team leo ningependekeza AANZE kiungo ALDOLF MUTASINGWA sababu iyo nafasi huwa anaicheza akiwa AZAM.
Huyo novatus akiwa GOTZEPE hachezi iyo nafasi tusilazimishe mambo
Number ya Mzize pia AANZE winger wa azam IDDY NADO maana ana uwezo kumzidi uyo CLONED player MZIZE
NB: LEO NDIYO SIKU YA KUONA UBOVU WA BACCA
NAPENDEKEZA number 2 aache LUSAJO MWAIKENDA Kwa Kapombe tutauliwa