Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Tuna Msuva huyo hapo alikuwa Hana Tim kapata tim juzi juzi TU ila ni Top scorer wa Tanzania ,,Usiongelee historiaTanzania hakuna mchezaji ambae atamfikia SAMATA ata robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna Msuva huyo hapo alikuwa Hana Tim kapata tim juzi juzi TU ila ni Top scorer wa Tanzania ,,Usiongelee historiaTanzania hakuna mchezaji ambae atamfikia SAMATA ata robo
Unaongea pumba ,Msuva anacheza bongo sahiviUnazani wazungu hawakuwahi kumuona msuva wakamchukua samata
Mafanikio ni kucheza Ulaya ww?au kuwa na kiwangoAnacheza EUROPE au alishawahi kucheza EUROPE?
Shangilieni ushindi acheni ugomvi!!!Anacheza EUROPE au alishawahi kucheza EUROPE?
Sio Kila kitu kitakuwa sawa kadiri ya matarajio,yaan ubovu WA baca umeonekana?Kwanini mkuu?